ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sasa Kwani mwanamke anapopakatwa anapata hasara gani? Mwanaume si ndio anapata hasara? ππππYaani nyie mnaotaka maisha mserereko ndio maana mnapakatwa. Maisha hayajawahi kuwa rahisi hata siku moja, maisha ni vita.
Acheni upuuzi kutaka vitu vya bure
Kumamaaeeee.... Wallah tena WANAUME tunazidi kupungua Dar-es-...Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Hata hayo Mafanikio aliyo nayo kidog Kama anavyodai atakua wamemkula huyuu....Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini
Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Mmmmmhhhh!!!Kumamaaeeee.... Wallah tena WANAUME tunazidi kupungua Dar-es-...
Kwahiyo akitokea kibopa akuweke ndani poa TU [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]LGBT+Q bhana wanajidhihilisha. Kwa style Tofauti
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Neno kukojolewa limetosha sana kunitia genyeAnatamani kukojolewa ,shida sana humu duniani,kila siku wanaume tunapungua [emoji26]
[emoji87][emoji87][emoji848][emoji848] Naomba utusaidie kumfungua huyu Jamaa naamini ana MENGI...Mmmmmhhhh!!!
Sielew una maana gnWalimu leo lazima wakutafune mzima mzima! Tena usishangae wakaja inbox kukutega wakuvunjie yai huku wakikurekodi. Ukianzisha vita uwe na nguvu ya kuhimili na uhakika wa kuishinda.
Ivi kumbeMwanaume rijali hawezikubali hata kufananishwa na mwanamke siyo tu kutamani kuwa mwanamke, nahisi utakuwa na hormony za kike.
Hahaha Hii kaliNani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini
Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Nikwambie kitu mashoga ni wengi zaidi ya unaowajua mtandaoni na mtaani.....Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA...www.jamiiforums.com
Nimeshangaa sana kukutana na huu uzi wa mwanajamii forum ambaye sikumtegemea na siamini kama yeye ndo kauandika, naomba niendelee kuamini pengine aliacha simu mtu mwingine akaandika na kupost.
Not possible guy, you will only change external structure but you can't be biologically woman, there is no way out for womenizationThe possibility of genda change is possible still not too late bro.
Nachukia sana mashoga ila nawapenda sana wanawakeMashoga huwa wanaanzi hivi hivi kwa kutamani kama wangezaliwa Wanawake.
Ni noma sana Mwanaume kutamani uanamke,maana take anatamani kupumuliwa.
Kemia hiyo roho,hizo ni dalili za ushoga.
Miti ipi mkuu usiwaze negativelyUtakuja kustuka umeshapigwa miti wewe, shauri yako.
Sasa Kwani mwanamke anapopakatwa anapata hasara gani? Mwanaume si ndio anapata hasara? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sio kweliBado nafasi ipo yakuwa mwanamke hujachelewa
Copy roger!One man down, over, one man down, i repeat