Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Unaye shida mahala sio bure I assure it. Kuna jamaa tukiwa olevo ameshawahi tamani kama wewe ulivyotamani kuanzia siku zile nilimuweka pembeni kiukweli huwezi amini.


Unapolalamikia nafasi yako Ina Kuna kitu hakipo sawa inside of your mental brain yaani inner core beliefs of your being,your in-built DNA, fiber,bone marrow,in your amygdala,limbic and cortez brain. Nimekuambia ivyo kwa sababu zifuatazo;

1- Jogoo hajawahi lalamika kuchimba ardhi kumpatia mtetea ale na hujawahi ona jogoo anakula akiwa anamtaka mtetea.
2- swala dume anaishi na majike 30 kazi yake Ni kutafuta malisho wale yeye kazi yake Ni kuwadunga sindano.
3-Suleiman alimiki ke 1000+ ,binafsi natamani niivunje rekodi ya Suleiman kwa kuoa hata ke 20000+.
4- Ndege, predators,jua,dunia,miti haiwajawahi lalamika kuwa Ni kazi mno kuwinda ama kufanya kazi zao ambaazo ziliumbwa zifanye mfano jua kutoa nishati,dunia kuzunguka,miti kuota ardhini bila ya kutembea na predators Ni kuwinda na wako adaptability na asili ya kazi yake Kama jogoo alivyo na makucha marefu na magumu ya kufukua ardhini kutafuta chakula tofauti na mtetea so hajawahi lalamika Ila wewe unajutia kuwa jogoo.
5--Do sharks complain/ask or afraid about Mondays? No. They're up early biting stuff, chasing stuff, being bold and reminding everyone that they're a shark.

6- 🌞 halijawahi kufanya kazi yake ambayo imeumbwa lifanye.
So mkuu unatamani uwe unakojolewa Yale maziwa mtindi unayala unayameza halafu unapewa teuzi,kweli serious man?
Mbona mie zege nishabeba na sijutii hata ukiniambia chimba mtaro nachimba na hiyo hela Nampa mwanamke anakula na silalamikii ama kulia.


7-- kubwa kuliko yote ndio leo nimegundua why story zako humu always ni kuponda watu fulani wa kwneye maisha yetu utadhani dunia iko sawa kwa kila Jambo.

8- Elon musk,Bill gates,Warren buffet,Michael Jordan,Tyson, Mohamed Ali, akina Kobe Bryant waliokuwa wakikesha gym waki practice their craft skills hawajutii kuumia mazoezi ya kila siku. Hata Eliud kipchoge alikimbia kwa siku 365 akijiandaa na marathon ya London na alivyoenda tu akashinda taji Hilo,Usain Bolt alikuwa anakimbia amejifunga 20kg ya mzigo was tairi analivuta hajawahi jiliza.

9- Are you really real man ! Damn shit .
Kuanzia Leo sintohangaika hata kujibu ama kuchangia mijadala yako huku jukwani Mana utaniambukiza uuke huo. Mwanaume ama jinsia sio maumbile tu na Ile spirit ya kiume. Na ndio Mana unaambiwa mwanamke haisi humpenda mwanaume halisi. Mwanamke anapenda mwanaume mbabe,nayeunguruma Kama Simba na sio unaanza kuwa Kama wao unadhani ndio atakuelewa.


10- Ni sawa wewe kuwa mwalimu unajiliza Ina Mana hukuumbwa uwe mwalimu,sawa na msoja analalamika maslahi,ama daktari anajutia kazi anaona Ni heri angekuwa businessman. Elewa hao hawajaumbwa wawe kwenye hizo career. Yaani unaambiwa Kama kila jumatatu huifurahii kwenda kufanya kazi yako Ni sawa tu unapoteza muda wako hapa duniani. You've to be excited with your work,Kama vile unavyomuona Yule demu wako uliyempenda Mara ya kwanza Mana ulikuwa na uwezo wa kumsotea hata masaa 8 unamsubiria na hulalamiki Kama umechelewa. Iyo kazi unayofanya Kama huwezi ifanya bure bila ya malipo eti mpaka ulipwe ujue unapoteza muda hapa duniani.

Mana inatakiwa Ile kufanya kazi tu iwe ndio furaha yako,Kama Ni kwenda vitani Basi uwe proud kuonyesha skills zako na kuishinda maadui na kuokoa nchi yako,Kama wewe Ni mwalimu hauko proud na ufaulu ama uelewe wa wanatunzi wako Basi you aren't in your position, Kama wewe unafanya biashara you aren't focusing on your customers satisfication Basi biashara sio fani yako wewe unawaza hela tu.
Badili jinsia mbona hizo option ipo mkuu ama unaumwa labda usaidiwe madaktari wapo.
 
Hawaelewi hawa watoto wa mama
 
Umeeleza sababu nyingi tu zakukufanya upende kuwa mwanamke au mwajuma au Prisca ila inawezekana labda kuna sababu kuu inakufanya upende uwe mwanamke ambayo hujaisema.
 
Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini

Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
kwanini madam princess ariana unasema ninyi mnaona bora mngekuwa wanaume?
 
One man down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…