Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Kubali tu Leo umetoa boko, sasa uulizwe jinsia kipindi unazaliwa kwani unakuwa na utambuzi wowote? Unakuwa unatambua ugumu wa kuwa dume na ugumu wa kuwa jike?.

Itoshe tu kusema Leo umetoa boko, kubali yaishe.
Ndio nikasema ni non existence, hakuna ufahamu huo ila ungekuwepo natunashuhudia ya Duniani wengi tungesema tuwe Samia hata wewe ungetaka
 
Sawa
 
Hizo ngoma hapo zimesha pigika wee alafu zimeambiwa hela kesho[emoji1787][emoji1787]

Mama hao wanao wa kiume unaonwaonea huruma wanunulie vimini mapema

Huku ni differentiation na intergration, kuna logarith na matrix bila kusahau siquence and series
 

Attachments

  • JamiiForums1432051699.jpg
    96.5 KB · Views: 4
  • JamiiForums285969446.jpg
    32.1 KB · Views: 4
  • JamiiForums995356869.jpg
    20.8 KB · Views: 5
Halafu mtu anasema bora kuwa mwanaume na kigezo kikuu ni ngono tu
 
Wewe me ndiye mwenye familia Kama ke wako anayo kazi iyo Ni just bonus kwenye package ya ndoa yako,
Hii mentality mbovu Sana, ndoa ni TAASISI hakuna taasisi ambayo Kila mtu ana malengo yake tofauti na TAASISI. Hivyo lazima ku share majukumu hta kupika, kufua, kuleta watoto ni majukumu ila kama ni mfanyakazi/biashara then lazima achangie issue za familia maana pia ni familia yake otherwise hakuna haja ya kuoa, tuzalishe tu tulee watoto wenyewe kuliko uishi na liability ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…