Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Kubali tu Leo umetoa boko, sasa uulizwe jinsia kipindi unazaliwa kwani unakuwa na utambuzi wowote? Unakuwa unatambua ugumu wa kuwa dume na ugumu wa kuwa jike?.

Itoshe tu kusema Leo umetoa boko, kubali yaishe.
Ndio nikasema ni non existence, hakuna ufahamu huo ila ungekuwepo natunashuhudia ya Duniani wengi tungesema tuwe Samia hata wewe ungetaka
 
Mkuu uandishi huu unakosa akisi ya kimaudhui ladha ya lugha yako mtiririko, rythm huna pesa umevaa koti sio lako, wewe ni wa kawaida sana sana, the complaining rythm iko so natural to equate the reality of yours. Money speaks so smooth and straight. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sente tewari, utali na mahera , mahera yalaheze
Sawa
 
Ndio nikasema ni non existence, hakuna ufahamu huo ila ungekuwepo natunashuhudia ya Duniani wengi tungesema tuwe Samia hata wewe ungetaka
Maaavi
Screenshot_20230325-150528_Chrome.jpg
 
Unaleta mchezo na Ugumu wa Maisha wewe..

Thailand inaongoza Kwa Wanaume kijibadili na kuwa wanawake fake ukiwauliza wanasema wanakimbia Ugumu wa Maisha..

It is not easy to be a man,Kuna Jamaa Huwa wanasafiri km 100 plus Kwa baiskeli wanasukuma mkaa usiku kucha ,Huwa nikiwakuta nasikitika ila ndio wanaume hawana jinsi..huo ni mfano mmja tuu Kati ya mifano Mingi ya shuruba za mwanaume.

So nikipata mtoto wa kiume Huwa nawaza sana.
Hizo ngoma hapo zimesha pigika wee alafu zimeambiwa hela kesho[emoji1787][emoji1787]

Mama hao wanao wa kiume unaonwaonea huruma wanunulie vimini mapema

Huku ni differentiation na intergration, kuna logarith na matrix bila kusahau siquence and series
JamiiForums-306101099.jpg
JamiiForums-549248811.jpg
 

Attachments

  • JamiiForums1432051699.jpg
    JamiiForums1432051699.jpg
    96.5 KB · Views: 4
  • JamiiForums285969446.jpg
    JamiiForums285969446.jpg
    32.1 KB · Views: 4
  • JamiiForums995356869.jpg
    JamiiForums995356869.jpg
    20.8 KB · Views: 5
Hizo ngoma hapo zimesha pigika wee alafu zimeambiwa hela kesho[emoji1787][emoji1787]

Mama hao wanao wa kiume unaonwaonea huruma wanunulie vimini mapema

Huku ni differentiation na intergration, kuna logarith na matrix bila kusahau siquence and seriesView attachment 2565013View attachment 2565031
Halafu mtu anasema bora kuwa mwanaume na kigezo kikuu ni ngono tu
 
Wewe me ndiye mwenye familia Kama ke wako anayo kazi iyo Ni just bonus kwenye package ya ndoa yako,
Hii mentality mbovu Sana, ndoa ni TAASISI hakuna taasisi ambayo Kila mtu ana malengo yake tofauti na TAASISI. Hivyo lazima ku share majukumu hta kupika, kufua, kuleta watoto ni majukumu ila kama ni mfanyakazi/biashara then lazima achangie issue za familia maana pia ni familia yake otherwise hakuna haja ya kuoa, tuzalishe tu tulee watoto wenyewe kuliko uishi na liability ndani.
 
Back
Top Bottom