Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #401
Ndio nikasema ni non existence, hakuna ufahamu huo ila ungekuwepo natunashuhudia ya Duniani wengi tungesema tuwe Samia hata wewe ungetakaKubali tu Leo umetoa boko, sasa uulizwe jinsia kipindi unazaliwa kwani unakuwa na utambuzi wowote? Unakuwa unatambua ugumu wa kuwa dume na ugumu wa kuwa jike?.
Itoshe tu kusema Leo umetoa boko, kubali yaishe.