Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Ndio maana nikakwambia ukiona upendeleo unafanyika kwa mwanamke sababu inaweza kuwa anapewa haki aliyowahi kunyimwa hapo kabla!
Haki ipi wewe, mbona hizo haki ni kwawanawake tu why isiwe nakwawanaume, ivi unaelewa kuwa chuo kikuu wadada wengi wanafaulu nasapp nyingi nizawanaume? Jiulize why sekondari ni vice versa
 
Haya ni matamanio ya kishoga kbs,
Ipo siku utaliwa tarko kwa fikra hiz!
 
Sasa mpwayungu village umesema tayari umeshafanikiwa na tayari una pesa. Sasa kwa nini utamani kuwa mwanamke tena [emoji28][emoji28]
Hebu eleweka basi
Kuwa na pesa bado hakuzuii changamoto tunazopitia sisi wanaume, hata mahari tu ukitaka kuoa hatoi mwanamke unatoa wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Yamekua hayo tena
 
Hatari kweli kweli..
 
Local Andrew Tate lazima ushangae
 

Daaah katika kitu sijawai kujuta niku zaliwa wakiume na nina mshukuru mungu kwa hili..... achana kabisa na ayo masazo yakuwa msichana narudia wacha kabisa aisee
 
"...wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake"
[emoji115][emoji115][emoji115]
We' matakle nini? Ulilazimishwa? Mq#nd wewe
 
Daah! [emoji848] Bado naendelea kutafakari
Yaani unatamani kuwa mwanamke kabisaaa [emoji15]
Loh! Najaribu kukufikiria mbali kidogo! Yaani saizi ungekuwa kwenye Bodaboda unapelekwa kw3nye nyumba fulani hivi lijamaa limoja limekupakia mkongo linakusubiri ulikatikie[emoji24][emoji24] [emoji2297]
 
Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini

Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Acha udwanzi. Akiolewa si ni yeye kwani wewe?! Mwenyewe natamernee ningezaliwa mwanamke.
 
Wewe hujawajua watu wa humu mtandaoni ni WAJUVI MAFYATU.

Wengi wao ni haya MAKURUMBEMBE yaliyosoma SHULE ZA KATA na SENTI KAJAMBA.

Ni kundi linalowakilisha jamii ambayo inaamini kuwa mwanaume hapaswi kueleza hisia za maumivu au uchungu.

Ndio maana watu wanajinyonga hovyo kwa sababu ya kuhofia kujieleza.

Mtu kasema genuinely kwamba anatamani kuwa mwanamke, lakini cheki comments za hawa WAJUVI UCHWARA.

Kwanza wanawadharau wanawake kwa kiasi kikubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…