Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki ipi wewe, mbona hizo haki ni kwawanawake tu why isiwe nakwawanaume, ivi unaelewa kuwa chuo kikuu wadada wengi wanafaulu nasapp nyingi nizawanaume? Jiulize why sekondari ni vice versaNdio maana nikakwambia ukiona upendeleo unafanyika kwa mwanamke sababu inaweza kuwa anapewa haki aliyowahi kunyimwa hapo kabla!
Haya ni matamanio ya kishoga kbs,Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Kuwa na pesa bado hakuzuii changamoto tunazopitia sisi wanaume, hata mahari tu ukitaka kuoa hatoi mwanamke unatoa wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sasa mpwayungu village umesema tayari umeshafanikiwa na tayari una pesa. Sasa kwa nini utamani kuwa mwanamke tena [emoji28][emoji28]
Hebu eleweka basi
Hebu fanya kuniconnect na huyo manzi ambaye anaweza kuwa na namba zakeHaha hatari sana.
Anakaa pande za Moscow kule
Sema kuna she najua lazima ana namba yake nadhani anaweza kukupa. Mimi nikiomba hawezi kunipa.
Utajiri.Sisemi mengi nadhani ni dalili za ........................!!!!!!
Yamekua hayo tenaKama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Mumewekeza kwenye ngono tu, ko faida ya mwanaume au mwanamke ni kwenye ngono tuHaya ni matamanio ya kishoga kbs,
Ipo siku utaliwa tarko kwa fikra hiz!
Hatari kweli kweli..Kwa comment za Uzi huu nimegundua vitu kadhaa
1. Tatizo la afya ya akili litatuua sana wanaume maana tukieleza changamoto zetu tunaonekana tumelegea, tunataka mteremko, au tunakua mashoga??!;
2. Pia nimegundua wanaume wengi wanawachukulia wanawake kama chombo Cha starehe tu. Yaani 90% ya comment zinasema hawatamani kuzaliwa wanawake sababu tu wangekua wanatumika kitandani??.
Nadhani ifike mahala mtu akiwa na stress za jambo Fulani ajibiwe kama inavyopaswa sio kusema ni shoga au ana shida ya akili n.k kwa style hii wengi watakufa na tai shingoni kwa hofu ya kuonekana hawajikazi wakipitia shida!!
Cc Proved Kalamu
😂😂😂😂😂 Dah nimecheka sana mkuu.Ndio Mana unaona mababu zetu walikuwa wakali mno Ila siku hizi tunajifanya walaini eti tumeelimika na ndio Mana jitahidi ule chakula natural direct from Shamba
[emoji22]Yamekua hayo tena
Jamaa umenishangaza sana kuwa na mawazo kama haya. Hapo umesema ukienda kuomba kazi anapata mwanamke sababu bosi kashakula tayari. Umejiuliza kwanini bosi ni mwanaume na sio mwanamke? Ushawahi kujiuliza kwanini yeye aweze kuwa bosi na wewe ushindwe? Hiyo ilitakiwa kuwa inspiration sio kuwa demotivated. Maana una uwezo na potential ya kufika viwango vyovyote.
Mwanaume nimepewa uwezo wa akili, nguvu za kimwili, uwezo wa kutawala na kuamua utakalo na special zaidi nimepewa mamlaka juu ya kiumbe cha kike. Uanaume ndio ukamilifu wa kuwa binadamu sababu mwanamke alitoka ubavuni kwangu.
Emushi unanivunja mbavu mkuu,kuwa ndio Ile style ya kuminya vidole ama kweli Sina mbavu mangi. Aika mbe
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Wapi nimesema hayo, nitakushtakiWewe ni member wa Upinde mkuu ..ushaubwa mwanaume jikubali .
"...wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake"Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Daa nimejaribu kuvikunja nimeshindwa
Daah! [emoji848] Bado naendelea kutafakariKama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Acha udwanzi. Akiolewa si ni yeye kwani wewe?! Mwenyewe natamernee ningezaliwa mwanamke.Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini
Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Wewe hujawajua watu wa humu mtandaoni ni WAJUVI MAFYATU.Kwa comment za Uzi huu nimegundua vitu kadhaa