Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Hamna pamoja na kwamba stress zipo, ila zako ni stress za maisha magumu Mkuu !!.
 
Haipunguzi kitu ukiniignore lakini wewe kutokana na huu uzi umekupunguzia heshima uliyoijenga miaka na miaka Leo hii umeipunguza sababu ya huu uzi.

Sijaelewa nini tatizo limekukuta mpaka kuleta uzi wa namna hii?.

Ni kwamba umeshindwa au ulikosa namna nzuri ya kuwasilisha wazo ulilokuwa nalo au?.

Ulikuwa unatafuta attention kwa watu? Au labda akaunti yako ya JF inatumiwa na mtu mwingine anataka akuchafue jina?

Au ulichokiandika umejaribu kukisoma kwa kurudia ukaelewa ulichoandika?

Jitafakari.
Huna ujualo let me ignore you
 
Nenda ugenini ukose sehemu ya kulala tuone Kati ya wewe na mwanamke Nani atasaidiwa PA kulala haraka iwezekanavyo kuliko mwingine
Yaani wewe sijui una nini. Wewe mwanaume hata kwenye kalvati ,boma,jumba bovu,kwenye mitaro,gari bovu unalala. Wewe Ni mwanaume dunia Ni yako unaimiliki.
Waulize wanaume wakiwa vitani huwa wanalala wapi ndio urudi kuongea hayo Mambo. Unatamani kupewa lift ke Mana me anaachwa anatembea. Yaani hii kutamani position ya ke tayari wewe Ni ke. You're strong as your beliefs. Your beliefs acts as scriptwriters in background of your mind ,and you're acting according to your beliefs. Aisee kumbe ndio Mana unawatukanaga walimu Mana ukipewa mimba na ticha akakuacha sijui
 
Hata mie nimemwambia ivyo
 
Asante sana mungu akulinde, waeleweshe hawa watu. Mimi nimewahi kufanya kazi ya kusajili line za airtel tulikuwa tunatembea Kwa makundi mitaani, KWENYE kundi letu tulikuwa wanaume wawili wasichana watatu, tukianza kutembea kutafuta wateja unakuta wanaoitwa kusajili ni wasichana tu sisi tunapigwa dolo hata kama facial touch ilianzia kwako bado huyo mteja body posture ataelekeza Kwa mwanamke nakumwita baby njoo unisajilie line

Tunalikuwa tunabahatisha Kwa wamama na wazee nao niwachache, tena hawa Dada zetu walikuwa wanaachiwa mpaka chenji. Siwaonei wivu ila wana fursa kubwa kuliko sisi
 
Kwahiyo kazi ya mwanamke ni kupumuliwa kisogoni tu?

Mama ako alipumuliwa mara ngapi hadi akakuzaa wewe!?

Hii mitandao inafichua matatizo makubwa sana ambayo tulikuwa hatuyajui!
Achana nayo matahila hayo, ndohayo yananunua Malaya wachafu wa kimboka halafu wanakula kavu,
 
Wewe jamaa ni mjinga na lengo lako kutangaza ushoga yaani unataka kutuaminisha Tanzania napo eti kuna wanaume wanatamani kuwa wanawake jinga kabisa. Huu upuuzi mnalipwa kuupandikiza bongo. Naona kuna mipusa kibao ime like uzi wako jinga mkubwa.
 
Hakuna asiyetaka vitu rahisi, hata wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…