Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Giza likiingia hii thread itafika 1000posts[emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna pamoja na kwamba stress zipo, ila zako ni stress za maisha magumu Mkuu !!.Stress za maisha muhimu. Hapa nawaza ada ya April nipeleke shule.
Nawaza nikakope benki nimalizie kijumba changu. Yaani nina stresz chungu mzima.
Vikojozi wanaodoea ugali wa shemeji hawawezi kuwa na hizi stress. Wao ni KUJAMBA na KULA MATUNDA YA KIMASKHARA.
Huna ujualo let me ignore you
Sawa Mpentecoste [emoji28][emoji28]Uzi was kupromot ushoga unakusanya maoni kuhusu wanaume wanaotamani kuwa wanawake....USHINDWE KWAJINA LA YESU...
Yaani wewe sijui una nini. Wewe mwanaume hata kwenye kalvati ,boma,jumba bovu,kwenye mitaro,gari bovu unalala. Wewe Ni mwanaume dunia Ni yako unaimiliki.Nenda ugenini ukose sehemu ya kulala tuone Kati ya wewe na mwanamke Nani atasaidiwa PA kulala haraka iwezekanavyo kuliko mwingine
Good Gal !! Nahiyo ndio nature ya kiumbe Ke .I’m proud 💯
Hata mie nimemwambia ivyoHaipunguzi kitu ukiniignore lakini wewe kutokana na huu uzi umekupunguzia heshima uliyoijenga miaka na miaka Leo hii umeipunguza sababu ya huu uzi.
Sijaelewa nini tatizo limekukuta mpaka kuleta uzi wa namna hii?.
Ni kwamba umeshindwa au ulikosa namna nzuri ya kuwasilisha wazo ulilokuwa nalo au?.
Ulikuwa unatafuta attention kwa watu? Au labda akaunti yako ya JF inatumiwa na mtu mwingine anataka akuchafue jina?
Au ulichokiandika umejaribu kukisoma kwa kurudia ukaelewa ulichoandika?
Jitafakari.
Asante sana mungu akulinde, waeleweshe hawa watu. Mimi nimewahi kufanya kazi ya kusajili line za airtel tulikuwa tunatembea Kwa makundi mitaani, KWENYE kundi letu tulikuwa wanaume wawili wasichana watatu, tukianza kutembea kutafuta wateja unakuta wanaoitwa kusajili ni wasichana tu sisi tunapigwa dolo hata kama facial touch ilianzia kwako bado huyo mteja body posture ataelekeza Kwa mwanamke nakumwita baby njoo unisajilie lineKwa sababu kasema Wana fursa nyingi kuliko yeye mwanaume. So issue hapa ni namna gani tunapo embrace mambo ya feminism na gender empowerment basi wanaume tusiachwe nyuma otherwise mwanamke anavyopandishwa Hadhi ndio mwanaume anazidi kupotezewa.
Mfano issue kama hii anashauriwa how akibaki mwanaume ataweza toboa bila "connection" au "advantage ya kuwa mwanamke". Sio kusema amekua shoga.
Nakumbuka Kuna mtu aliwahi anzisha thread humu akasema anatamani kufa na amekata tamaa ya kuishi. Watu wakaishia kusema anakufuru, mara aolewe, mara kachanganyikiwa n.k. bila kuangalia amesema hayo kwa muktadha upi. Baada ya miezi kadhaa ikapostiwa humu kuwa kafariki ndio watu wakaanza jutia comments zao.
So tusiwe too serious Mitandaoni, tujifunze kuwa na ustahimilivu na positivity kuliko mawazo hasi tu.
Mimi ni mpwayungu villageWe ni cocastic
Achana nayo matahila hayo, ndohayo yananunua Malaya wachafu wa kimboka halafu wanakula kavu,Kwahiyo kazi ya mwanamke ni kupumuliwa kisogoni tu?
Mama ako alipumuliwa mara ngapi hadi akakuzaa wewe!?
Hii mitandao inafichua matatizo makubwa sana ambayo tulikuwa hatuyajui!
Jamaa huyu anadharau Sana walimu.Ataisoma namba.Sasa anawaza kuwa mwanamke na bado........Utaelewa tu baada ya kushughulikiwa na walimu. Ndio utajua sio rahisi kuwa mwanamke
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]ila zako ni stress za maisha magumu Mkuu !!.
Asante Kwa mchango wako [emoji120]Kwa post za uyu jamaa nilishaanza kuhisi hayuko sawa,ipo siku watu watakuinamisha kweli,..maana mara nyingi aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea[emoji144]
Wewe jamaa ni mjinga na lengo lako kutangaza ushoga yaani unataka kutuaminisha Tanzania napo eti kuna wanaume wanatamani kuwa wanawake jinga kabisa. Huu upuuzi mnalipwa kuupandikiza bongo. Naona kuna mipusa kibao ime like uzi wako jinga mkubwa.Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Unamaanisha walimu wamemroga?[emoji1787][emoji1787]Jamaa huyu anadharau Sana walimu.Ataisoma namba.Sasa anawaza kuwa mwanamke na bado........
Tupambane tu mkuu imagine mnaenda viwanja kula bata pesa yote mnawanunulia wadada pombe ila kumpa jero ya vocha mshikaji wako unamkanda tena unamchukia kabisa ATI anakera [emoji28][emoji28][emoji28]Duh! Noma
Hakuna asiyetaka vitu rahisi, hata weweItoshe tu kukushauri Mkuu "Tafuta Pesa, tafuta Pesa, ukimtanguliza Mungu mbele''
hao Wanawake, walipewa Tobo Kwa sababu kuu tatu
[emoji117]Wampe Raha Mwanaume.
[emoji117]njia ya kuzalia mtoto .
[emoji117]Wawe wasaidizi wa majukum ya kifamilia wakati Mwanaume Yuko juani anapigwa na Jua, jasho linamtoka.
Kuukimbia Uanaume maana yake, unataka vya kupewa, mdebwedo !!.
Hapana jamani hongereni[emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo unatuonea wivu [emoji848]