Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Nilisema humu ni jambo la muda tu... wanaume wa Upinde🏳️‍🌈 wataanza kuonyesha waziwazi kujutia uanaume wao... Ni aibu kufuru laana na msiba mwanaume kufikiria au kujutia kuwa mwanaume... Vijana mnapenda maisha mteremko sana mtashikishwa sana ukuta... UNAJUTA KUWA MWANAUME..? 😳😳😳
 
Hii ni comment bora kabisa niliyoisoma siku ya leo. You have my respect Madame!
 
Wengi huwa wanawaza hivyo, nikamwambia kwahiyo ruksa mimi kuchapa yeyote akakubali, nilibaki nashangaa
 
Inashangaza sana, kwani alishindwa vipi kuelezea magumu tunayopitia wanaume pasipo kutamani kuwa mwanamke?.

Huyu anashida sehemu, pole sana kwa wazazi wake pengine wanaamini mtoto wao ni bonge la dume kumbe lenyewe linatamani kuwa na K lipate mseleleko.
 
Ni wewe kweli Mpwayungu tunaye mfahamu au mtu au mtu ka- hack account yako? Kama ni wewe, hili bandiko lako limekuja wakati mbaya sana. Wakati umma wa Africa unalaani na kupiga wimbi la LGBTQ. Mtu alisoma bandiko hili mtu anahisi unatamani vitu vyote ambavyo mwanamme anamfanyia mwanamke likiwemo swala zima la 'jigi jigi'. Sijui ni mimi tu nimekuelewa vibaya?
 
HALI INATISHA👹👺👹👺👹👿👿👿
Kama mtoa mada ni mwanaume, basi ameshaleft group la wanaume.
Katika orodha ya viumbe walio hatarini kutoweka ukiachana na faru na wengineo, wanaume nao tuongezwe kwenye orodha.
NB:
Mtoa ukiweza futa post yako kwa faida ya wanaume wote.
 
Ni mimi kiongozi, sioni baya nililoandika apo
 
dalili za upinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…