Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Nilisema humu ni jambo la muda tu... wanaume wa Upinde🏳️🌈 wataanza kuonyesha waziwazi kujutia uanaume wao... Ni aibu kufuru laana na msiba mwanaume kufikiria au kujutia kuwa mwanaume... Vijana mnapenda maisha mteremko sana mtashikishwa sana ukuta... UNAJUTA KUWA MWANAUME..? 😳😳😳