Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Poteleapote
 
haki ya nani hili jamaa unaweza kuta ni mtoto wa watu
 
hatuji inbox hata iweje
 
Hii ni comment bora kabisa niliyoisoma siku ya leo. You have my respect Madame!
I'm honored mkuu!

Wanaume wanachangamoto nyingi na kila mtu/watu wengi tunazifahamu. Itoshe kufundishana, kuelekezana na kusaidiana namna ya kuzitatua kuliko kuzikimbia.

Kuboresha afya ya akili ni pamoja na kuzifahamu changamoto zako na namna ya kukabiliana nazo.

Ngoja tuwekane sawa hapa, dunia inakabiliwa na tatizo la watu kuwa suicidal, kwa nchi zilizoendelea tafiti zinaonesha 60% ya attempt za suicides zinawahusu hawa ndugu na jamaa zetu waliokimbia jinsia zao, Swali ni kwanini? Pamoja na sababu zingine za ubaguzi inaonekana kwa kiasi kikubwa hawa wenzetu si wazuri katika kusolve changamoto zao zaidi ya kuzikimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…