Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Huo ndo ukweli kila sehemu ina kazi yake mahususi ya asili hamna haja ya kutamani nyingine isio kua kazi yake
 
Ungezaliwa mwanamke,usingekuwa wewe,angekuwa mtu tofauti.
Hizo shuruba ulizozitaja,kwa wengine wetu,hiyo ndio furaha yetu,
 
Una kichwa kizuri sana, unajua maana halisi ya kuzaliwa mwanaume.

Wengine tumepitia changamoto kubwa sana lakini hatukutamani hata siku moja eti tuwe wanawake, tulitatua changamoto zetu na tukasimama tena, sasa nashangaa huyu ndugu yetu yeye kuombwa elfu saba kwa ajili ya chipsi eti ndo atamani kuwa mwanamke?.

Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba inaonekana anahaki ya kutetea alichokiandika, Mimi naomba watu waliokaribu nae wajaribu kumpatia ushauri huenda kuna kitu kinamsumbua.

 
Astakafirurahh .... Unatamani ungekuwa unatombw@, eti!!! Duh.... Kajiunge na LGBTQ tu!!
 
Jaribu kuwa mwanamke ili ujue kwamba hata wao wanavumilia mengi,unafikiri kunyanduliwa ni rahisi sana,kuzaa nako ni rahisi si ndio? Kubleed kila mwezi ni rahisi? Wanawake wanapitia mengi sana acha kutamani maumbile ambayo Mwenyezi Mungu hakukupa hiyo ni dhihaka kubwa sana. Ukipenda vitu rahisi siku si nyingi utageuzwa mwanamke pamoja na kuwa wewe ni wa kiume sikuizi vijana wameharibika sana
 
Mbona mnalenga kwenye ngono tuu
 
Hapa umeandika kidole Cha kusuta kikiwa juu kama Aisha Mashauzi...mwanaume popote ulipo inatakiwa iji proud kuwa kiumbe wa jinsia ya Me....regardless unapitia magumu kiasi Gani ila hakuna ku give up....hapa umetuangusha aysee
I regret
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…