Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Mwanaume ana gametes X,Y
Hivyo ndani ya mwanaume kuna Mwanamke.
Ila ndani ya Mwanamke hakuna mwanaume.

Sema nini, unajua kucheza na Akili za Watu humu Ndani. Unachohitaji ni attention na mapovu ya Watu.[emoji23][emoji23]
Mkuu upo sahihi ila huwez kuwa mwanamke kamwe, utabadili ujuavyo ila hutakuwa mwanamke kibayolojia
 
Upo smart sana, wewe pekee ndie ulienielewa.
 
Dah! Mwenzetu ndo hivo tena amekimbia kambi. Sifa kuu ya mwanaume ni kupambana na kutatua changamoto zinazokukabili, sasa wewe mwanaume unataka usipate changamoto unataka kupakatwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…