Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Hivi mpwayawayu ndio aliekuwa analalamikia walimu kulana mabwenini kule tabora ?
 
Ebu imajini wewe ni mwanamke afu una kazi Yako lakini umeolewa unaletewa kila kitu na mme wako, unalishwa, unavishwa, unadekezwa yani raha tupu...
QUOTE "Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena"EOQ.

Hayo yameandikwa na Mpwayungu Village kwenye Uzi wake katika kipindi kifupi kilichopita. Hapa kuna tatizo na ingekuwa nje ya nchi huyu jamaa angepata ushauri wa kisaikolojia na kuambiwa yeye ni KE katika umbo la ME, hivyo angeshauriwa achukue hatua ya kubadiri jinsi yake ili awe KE kabisa.

Ni tatizo la kisaikolojia, yaani ME unatamani kuwa KE kwa kukimbia wajibu wako kama mwanaume na kutaka uwe KE ili uletewe kila kitu na kibaya zaidi unajuta kuzaliwa ME!
 
Bado ni mwanaume biologically, usoni tu na sehemu za nje mnamwona keshakuwa sister ila for sure mpaka kufa hataweza kuwa mwanamke
Ila mwenzako ametimiza ndoto zake. Hivyo na wewe bado hujachelewa. Unaweza tu kuwa kama yeye.

Na ukumbuke tu hakuna mwanaume rijali anayeweza kuwa na mawazo kama haya ya kwako. Hivyo utambue fika una matatizo ya kisaikolojia, au kibailojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…