Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Wallahi kuwa mwanamke rahaaa sanaπŸ˜‹
Sina mengi zaidi ya kumshukuru Mungu kwa kuwa mwanamke
Kama wewe ni mwanamke kumshukuru Mungu kwa kuwa ni mwanamke ni sawa kabisa na ni sahihi!! Ila ungetamani kuwa mwanamume hapo ndo ingekuwa ni laana!!
 
Namhurumia Mpwayungu village!! keshaharibika!! anahaha kutafuta hadi mitandaoni!! Namshauri amtafute Mungu ili hili pepo la ushoga limtoke!! Hakuna mwanamume anayeweza kuvumilia maneno anayoambiwa humu jukwaani, ila kwake ni raha tu, hapo yuko anafanya promotion na anatandaza mitego yake! Bila shaka huwa anafanikisha mitego yake vinginevyo angeshaacha!! Hii laana mbaya sana!!
 
[emoji304][emoji304][emoji304] nenda salama
 
Una psychological disorder wew... Simple tu acha tuanze kukuita choko mkuu angalau ujihc kuwa m/mke upate faraja
 
Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini

Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Mshaurini shoga yenu huyo
 
Umejidharirisha sana
 
[emoji23] et anahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…