Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Nafkiri msingi wa mjadala huu ungefaa kuwa;

Kati ya mtoto wa kiume na wa kike yupi ana fursa ya kufanikiwa zaidi kimaisha.?

Think about your female classmates wa chuo kwa sasa life lao lipoje?

Mambo ya ushoga,laana,upinde ni porojo tu ambazo zimeharibu huu uzi.

Tujifunze kuchangia mada sio kushambulia mtoa mada.
 
Na hivi una traaako basi akili yote imeyumba....🤣
 
Una akili sana nifate pm nikupe pesa ya nyama choma
 
Na hakuna mwanaume rijali anayetamani kuwa mwanamke.
 
Huyo mwanamke wako ndio ana shida,mm najivunia kuwa mwanamke na sijawah kutaman kuwa mwanaume.
 
Pole chief wafikiria mada wameidadavua kwa mapna zaidi ya ulipofikiri
 
acha kutuchafulia jukwaa kwa nyuzi za kishoga, unamlilia nani choko wewe, kama unataka kutatuliwa na wanaume wenye hela mbona simplo tu, unasema unatafutiwa basha upewe kitu rinda linapenda, ila vilio vya kichoko ukamlilie basha huko,
huko mtaani kwako umekosa wa kumkatia viuno?
mijitu kama hii wala sio ya kubembeleza, ni mishoga sugu inayotafuta faraja, rotten pawpaw wewe.
 
Daah wewe jamaa utakuwa una matatzo mm sijawahi kuona Wala kusikia mwanaume kamili eti anatamani angekuwa mwanamke.mashoga ndo Wana Tabiia izo za kutamani kuwa wanawake ili watumike vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…