WhoIsMkanwa
New Member
- Apr 25, 2022
- 2
- 5
Hoja yako ni kwamba unataka uonewe huruma .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yako ni kwamba unataka uonewe huruma .
Hakuna loss kwenye kuwa mwanamke, kuwa mwanamke Ni Big Deal kwa mwanamke.Pmj na hayo huyo binti anajifariji tu mkuu, in a hidden realty kuwa m/mke its a big loss
Kumbe umenielewa...Kwangu mm mwanaume kuwa m/mke its not a Big deal,Hakuna loss kwenye kuwa mwanamke, kuwa mwanamke Ni Big Deal kwa mwanamke.
Na hivi una traaako basi akili yote imeyumba....🤣Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe
Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake
Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka
Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.
Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]
FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Una akili sana nifate pm nikupe pesa ya nyama chomaNafkiri msingi wa mjadala huu ungefaa kuwa;
Kati ya mtoto wa kiume na wa kike yupi ana fursa ya kufanikiwa zaidi kimaisha.?
Think about your female classmates wa chuo kwa sasa life lao lipoje?
Mambo ya ushoga,laana,upinde ni porojo tu ambazo zimeharibu huu uzi.
Tujifunze kuchangia mada sio kushambulia mtoa mada.
Na hakuna mwanaume rijali anayetamani kuwa mwanamke.Niliwahi kuwa na demu fulani akanambia
" Natamani sana ningekuwa mwanaume....."
Nikamuuliza umefikiria nini hadi kutamani hivyo?
Akasema " Ningehakikisha natomb mademu wengi sana....."
Hakuna mwanamke anayependa kuwa mwanamke
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Huyo mwanamke wako ndio ana shida,mm najivunia kuwa mwanamke na sijawah kutaman kuwa mwanaume.Niliwahi kuwa na demu fulani akanambia
" Natamani sana ningekuwa mwanaume....."
Nikamuuliza umefikiria nini hadi kutamani hivyo?
Akasema " Ningehakikisha natomb mademu wengi sana....."
Hakuna mwanamke anayependa kuwa mwanamke
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Pole chief wafikiria mada wameidadavua kwa mapna zaidi ya ulipofikiriNafkiri msingi wa mjadala huu ungefaa kuwa;
Kati ya mtoto wa kiume na wa kike yupi ana fursa ya kufanikiwa zaidi kimaisha.?
Think about your female classmates wa chuo kwa sasa life lao lipoje?
Mambo ya ushoga,laana,upinde ni porojo tu ambazo zimeharibu huu uzi.
Tujifunze kuchangia mada sio kambulia mtoa mada.
Sio anaanza, ndio keshakuwa, kaingia kwenye lgbtq community 😅Mwenyewe kanishtua kweli kwa kutaman raha za wanawake [emoji3]ujue wadau wa upinde ndio wanaanza hvhv kutaman vtu vdg vdg
Habari Mh rais![emoji1][emoji1][emoji1] Nimelielewa sana jina lakoNa hakuna mwanaume rijali anayetamani kuwa mwanamke.