Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini

Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Duuuh utaolewa tena?
 
One man down
Sure hii mamii kwa kweli kiuhalisia Ni one man down. Napitia magumu na kila me anapitia Ila sijawahi kuwaza ivyo. Huyu jamaa acha awe anapiga stori na ke stori za kuponda na kusengenya walimu, Mana labda anawazidi kipato so anawadharau. Huwezi dharau mwenzako kisa kipato. Ango mamii???
 
Mwanaume halisi hadharau hustle za mwanaume mwingine
 
Unaleta mchezo na Ugumu wa Maisha wewe..

Thailand inaongoza Kwa Wanaume kijibadili na kuwa wanawake fake ukiwauliza wanasema wanakimbia Ugumu wa Maisha..

It is not easy to be a man,Kuna Jamaa Huwa wanasafiri km 100 plus Kwa baiskeli wanasukuma mkaa usiku kucha ,Huwa nikiwakuta nasikitika ila ndio wanaume hawana jinsi..huo ni mfano mmja tuu Kati ya mifano Mingi ya shuruba za mwanaume.

So nikipata mtoto wa kiume Huwa nawaza sana.
Wewe mtoto wako wa kiume akiwa shoga nadhani utakua wa kwanza kumnunulia vi mini na kumtafutia wanaume wenye pesa wamkaze!
 
Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini

Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Daaaaaaah hiyooo Aya ya mwisho uliompa ndo azingatiee
 
Back
Top Bottom