Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Acha apate alichokitaka wala hatutoi ushauri wala nini, mwanaume unatamani kuwa jike? Serious? Nyie haki za binadamu naona mnataka kuvamilia uzi, mnataka kuhalalisha wazo la jamaa kutamani kuwa jike?.

Kwa comment za Uzi huu nimegundua vitu kadhaa

1. Tatizo la afya ya akili litatuua sana wanaume maana tukieleza changamoto zetu tunaonekana tumelegea, tunataka mteremko, au tunakua mashoga??!;

2. Pia nimegundua wanaume wengi wanawachukulia wanawake kama chombo Cha starehe tu. Yaani 90% ya comment zinasema hawatamani kuzaliwa wanawake sababu tu wangekua wanatumika kitandani??.

Nadhani ifike mahala mtu akiwa na stress za jambo Fulani ajibiwe kama inavyopaswa sio kusema ni shoga au ana shida ya akili n.k kwa style hii wengi watakufa na tai shingoni kwa hofu ya kuonekana hawajikazi wakipitia shida!!

Cc Proved Kalamu
 
Kwa comment za Uzi huu nimegundua vitu kadhaa

1. Tatizo la afya ya akili litatuua sana wanaume maana tukieleza changamoto zetu tunaonekana tumelegea, tunataka mteremko, au tunakua mashoga??!;

2. Pia nimegundua wanaume wengi wanawachukulia wanawake kama chombo Cha starehe tu. Yaani 90% ya comment zinasema hawatamani kuzaliwa wanawake sababu tu wangekua wanatumika kitandani??.

Nadhani ifike mahala mtu akiwa na stress za jambo Fulani ajibiwe kama inavyopaswa sio kusema ni shoga au ana shida ya akili n.k kwa style hii wengi watakufa na tai shingoni kwa hofu ya kuonekana hawajikazi wakipitia shida!!

Cc Proved Kalamu
Thread 'Watu hamjanielewa naposema "Mwanamke ni chombo Cha Starehe" Sasa nieleweke hivi !!.' Watu hamjanielewa naposema "Mwanamke ni chombo Cha Starehe" Sasa nieleweke hivi !!.

Ndio mwanamke ni chombo Cha starehe.
 
Leo ndio utajua km ni malofa kweli au la. Halafu ukizingatia wana kiburi cha kupokea mshahara hivi majuzi tu,lazima wakuvunjie yai viza baada ya kukulewesha na bia!.
Mshahara kadi imejaa madeni wakiappload salary ni ndefu kama nyoka
 
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Unaweza kuvumilia kuvuja kila mwezi wewe
 
Yaani hizi siwezi kuziangalia Ila za kawaida nacheki. Kuna muda nimebaki hostel Ile likizo ya wiki tatu ivi nikapangwa chumba na shoga ilibidi nihame ujue,Kuna siku nikaomba pc yake, kucheki Kuna picha imeandikwa my diki,Mara my esi,Kuna video za mashemale, halafu alikuwa msafi balaa ilibidi nihame chumba. Yaani mwanaume kuwa mwanamke jamani Ni kinyaa pia Hawa jamaa wazungu Kuna vitu nadhani huwa wanaweka kwenye via huko na baadhi ya vyakula ama vinywaji ili kupunguza homoni za kiume na kuongeza za kike zaidi ili wanawake wasifanyiwe ukatili zaidi. Ndio Mana unaona mababu zetu walikuwa wakali mno Ila siku hizi tunajifanya walaini eti tumeelimika na ndio Mana jitahidi ule chakula natural direct from Shamba.
Vyakula vya kizungu vinalowwsaha m. K. U. N. Du saana sio vyakuzoea
 
Acha apate alichokitaka wala hatutoi ushauri wala nini, mwanaume unatamani kuwa jike? Serious? Nyie haki za binadamu naona mnataka kuvamilia uzi, mnataka kuhalalisha wazo la jamaa kutamani kuwa jike?.
Huna ujualo let me ignore you
 
Pole sana

I know how you feel!

Japo hicho unachowaza sio SAHIHI!

Mimi nime hustle sana Mkuu!

TOKA primary hadi udsm,Bila true mama or true Baba,kwa msaada wa walimwengu tu,mbeleni ya jk ikanibeba nikapata ajira ambayo umeitukana Sana humu jf,lakini muda sio mrefu naingia kwingine kwa connection fulani fulani !!

Lakini sijawahi waza kua mwanamke,bali nimewahit mlaumu Mungu kwaninie alinipatia wazazi wajinga wajinga vile!kwa MAAMUZI mabovu mabovu yale waliyoyafanya!!

Usilaumu jinsia yako Mkuu! hustler's tupo wengi usituone tnacoment kizungu humu mkuu!

"Wengi wetu tupo kama paulo mtume kwamba,anaijua njaa,anaijua na shibe,amepigwa Hadi ngumi katika hustle zake za kupambania kusudi lake Mungu!!


Nashauri Rudi katubu coz utafanya Mungu ahairishe mambo mazuri aliyoyaweka mbele ya MAISHA yako Mkuu!!

Rudi madhabahuni mkuu!!!


Namalizia

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba mpya"
 
Wewe hujawajua watu wa humu mtandaoni ni WAJUVI MAFYATU.

Wengi wao ni hawa makurumbembe yaliyosoma shule za kata na senti kajamba.

Ni kundi linalowakilisha jamii ambayo inaamini kuwa mwanaume hapaswi kueleza hisia za maumivu au uchungu.

Ndio maana watu wanajinyonga hovyo kwa sababu ya kuhofia kujieleza.

Mtu kasema genuinely kwamba anatamani kuwa mwanamke, lakini cheki comments za hawa WAJUVI UCHWARA.

Kwanza wanawadharau wanawake kwa kiasi kikubwa sana.
Yananivaa tu automatically, shida akili zao Zipo kwenye kichwa cha chini sio juu
 
Back
Top Bottom