Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Ebu imajini wewe ni mwanamke afu una kazi Yako lakini umeolewa unaletewa kila kitu na mme wako, unalishwa, unavishwa, unadekezwa yani raha tupu...
Unaweza kuamua ukataftiwa tu mkuu, kuna wanaume wwnamudu hiyo kazi ila sharti moja tu ukubali kugeuzwa mwanamke kama unavyotamani wala maisha hayatakuwa magumu kwako.

Nimekuvumilia hii thread yako ya 2 ukitaman kuwa mwanamke, sina hakika sana kama una malinda
 
Ebu imajini wewe ni mwanamke afu una kazi Yako lakini umeolewa unaletewa kila kitu na mme wako, unalishwa, unavishwa, unadekezwa yani raha tupu.

Kwahiyo hapa sasa nimejikita kwenye faida za kuwa mwanamke kiuchumi, fursaaa sio mengine. Yani hapa nilipo napambana kutafuta chakula changu na cha mpenzi wangu ebu ona hii michosho yani hadi keroo, nakereka vibaya mnoo

Why wanawake wanafaidi kiasi hiki jamani [emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app





We jamaa ni upinde
 
Bora ungeendelea na mada za kuwaponda na kuwang'ong'a walimu japokuwa si vizuri ila kule kuna unafuu kuliko hizi mada zako za sasa maana unakoelekea ni kubaya

iko hivi! Awali ilikuwa ni LGBT
L- LESBIAN
G-GAY
B- BISEXUAL
T- TRANSGENDER

ila kwa sasa wameongeza Q hivyo ni LGBTQ

Q- For Questioning, yaani anajiuliza uliza hivi Mimi napenda kuwa mwanaume au mwanamke? Hivi kuwa mwanaume na mwanamke kupi kuna faida kupi kuzuri kupi kuna kitonga kupi kuna comfort zone, sitaki tena kuendelea kuwaelezea hawa mashetani watu


Iko hivi bwana@Mpwayungu Village iwe kwa kujua au kutokujua achana na hizi mada.
🙊
 
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri ndokabisa. Imagine kila kitu mwanaume inabidi upambane. Hapa nazungumzia kwanzia kwenye elimu yani mtoto WA kiume hupewi kipaombele kama wakike ndio maana kila foundation inayokuja nikumkomboa mtoto WA kike wewe wakiume utajijua mwenyewe

Uje kwenye kutafuta mwanaume unatafuta huku mwanamke anapewa. Kuna siku sitaisahau Enzi za umasikini wangu niliwahi kupata kibarua cha kuponda zege Kwa kutwa nikalipwa elfu saba baada ya kazi mpenz wangu akasema nimpelekee chipsi Yai na kidali cha kuku, pesa yote ikaishia kwake

Ukija kwenye mapenzi mwanaume inabidi upambane kuhonga tena ulie kweli kweli mbaya zaidi sisi ndotunashugulika kitandani mpaka jasho linatutoka

Ukija kwenye fursa unakuta una vyeti vizuri tu ila kwenye ajira anapata mtoto WA kike maana boss keshamega keki yake.

Haya yote ya nini Sasa, ningekuwa mwanamke Kwa akili zangu zilivyo smart ningewahi sana kufanikiwa kuliko Sasa tena ningekuwa zaidi ya hapa sema tu uanaume ndoumenichelewesha [emoji24][emoji24][emoji24]

FORGIVE ME JESUS [emoji120][emoji120][emoji120]
Wewe ni upinde acha kutuvuruga
 
Mtoto wa kiume kuanza kuwaza jinsi dada yako anavyopata favour kwa kigezo cha jinsia yake hizo ni dalili mbaya sana,siyo dalili nzuri at all.

Mleta mada nakushauri kama uwezekano upo ikiwa huwa unapata wasaa wa kukaa na wanaume wenzako mka-share kununua kitu eg pombe sitisha haraka sana ipo siku itafika iwe zamu yako kulipa ujilengeshe jamaa wafanye kweli.
[emoji23]
 
Fanya plastic surgery,hakika utaolewa mapema kabisa.
Wahi wakati DP WORLD wanajipanga kuja,wakukute ulishapona,wakuoe fasta.
Baadhi ya wanaume wasasa,wamekua wakijuta kuwa wanaume,badala yake wanataka kuwa wadada,sijui ni maisha au ni UPEPO tu...?
Kwakweli inasikitisha sana.
Na hao DP WORLD wakija, uwezekano wa wimbi la wanaume wanaukana uananaume wao,kuingiliwa kinyume na maumbile,litaongezeka sana,kwasababu kule bandarini,wataweka walinzi wao,na hao walinzi wakikamata mwizi maeneo ya bandarini,adhabu moja wapo, yawezekana wakawa wanawaingilia kinyumenyume.Mkulungwa anaingizwa kwenye kontena,wanampelekea moto.Ngoja waje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom