Najuta kwanini niliuza gari yangu

Hahah washkaji wananunua passo/starlet/march/sio kwa kupenda ni ili kuondokana na adha tu ya usafiri hapa jijini maana kushika bomba daily si mchezo,though anajua atakua anapondwa/kuchekwa lkn potelea mbali hahah.
Hahahah kununua Passo/Glanza/March sio tatizo mkuu. Shida ni kuvimba sana! Kwanini mtu avimbe kwenye bebi walker? Halafu ndio wanaongoza kwa kutundika funguo kwenye luksi za Cadeti!
 
Hahahah huyo jamaa lazma awe na asili ya u Mangi tu. Cresta ni 3.5M mkononi yenye hali nzuri ni 4.5M. Kitendo cha kumiliki Corolla kinaashiria jamaa ni mchumi sana.
 
Hahahah kununua Passo/Glanza/March sio tatizo mkuu. Shida ni kuvimba sana! Kwanini mtu avimbe kwenye bebi walker? Halafu ndio wanaongoza kwa kutundika funguo kwenye luksi za Cadeti!
🤣🤣 Sasa ndugu, akivimba, wewe inakuathiri nini? Ndipo alipoweza kujikunaaa! Cha mtu 💩. Samahani kama nitakukwaza.....tunatoka mbali na haya maisha, kununua tu baiskeli kwa wengine ni milestone kwake, ila wengine tangu wadogo, wanacheza na magari ya nyumbani. Ndio maisha tu.
 
Hahahah hivi ni lazima funguo ining'inizwe kwenye suruale luks za mbele zile!?
Hahah sa utajuaje kama mjomba 'ametusua' kimaisha hahah.

Huyo jamaa anakwambia cresta ndio 'benz' ya mjapan kuna kipindi alitoka nayo dar-kenya-uganda-kigali akarudi nayo mpk dar tena,alivyofika akasema chalii angu ama kweli baada ya Mungu ni mjapan si kwa utamu wa gari hii,nilicheka sana aiseee na sitamsahau 'mnama' kwa sentensi hio,hahah.
 
Hahah hii ni changamoto mkuu, unajua huwezi kufanya vitu ambavyo ni ridiculous kwakuwa tu una uhuru wa kufanya hivyo. Milestone ni sawa kila mtu anahit milestone at a time katika maisha ila ukumbuke wewe si wa kwanza kununua gari mkuu. So usiingie wazimu kisa umenunua gari ulimbukeni sio sifa mkuu. Kuna mtu anamiliki gari ya million 600 hapa hapa na huwezi muona anafanya hayo unayofanya mkuu. Hata tu kupiga picha amesimama pembeni ya hio gari yake na kupost hana hio time.

Lets strive to be rich and not look rich!
 
Hahahah jamaa anainjoy sana lakini thats life mzee. Tuheshimu ni achievement yake and as long as he's having fun no problems mzee. Kila mtu na apendacho bwana mnama...ha ha! Siku akihamia kwenye Mark X ndio anaweza kwenda nayo hata Nigeria!
 
Bro! Nunua hata kibaiskeli cha gear kuepuka ukimwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16]pesa shetani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtanisamehe bure...nachukiaaaa hii tabia ya maufungua kwenye luks za suruali.....utafikiri mairizi[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]View attachment 1033240

Sent using Jamii Forums mobile app
Tabia ya kipumbavu sana hii mi pia najiskia kichefuchefu kuona mtu mzima anaefanya hivi. Ila cha kushangaza ni common kwa wale wenye mikebe ya less than 20M.
Huwezi mkuta mtu ana roll on a 100M+ whip halafu anafanya huo ushamba labda awe kaazima!
 
Huyo jamaa hovyo sana....
 
Hata mi siongei kwa ubaya...ila gari za chini jamani sizipendi asee...utafikiri unaburuzwa kwenye lami!

SUV mpango mzima unadunda dunda kama kitenesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…