Najuta kwanini niliuza gari yangu

Ww nishekusoma model zote za magari Unazijua lkn kula kwa shemeji.....
 
Ww nishekusoma model zote za magari Unazijua lkn kula kwa shemeji.....
No wonder unaanzishaga thread kila siku unaomba ushauri humu unataka kununua harrier tako la nyani hahah.

Hivi ulianzisha thread humu ukisema toyota harrier G240 ndio DREAM CAR yako sio?hahah aisee

Ushamba ni mzigo sana.
 
Ndo maana nimekwambia ww kula kwa shemeji.....siku Dada yako akiachwa ndo utajua kwanini Toyota harrier linaitwa TAKO LA NYANI

Tumejifunza kupitia wewe

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana nimekwambia ww kula kwa shemeji.....siku Dada yako akiachwa ndo utajua kwanini Toyota harrier linaitwa TAKO LA NYANI

View attachment 1033305
Hahah daah nimecheka sana aisee hahah.

So huyo mama dangote akiwanalo ndo inakuaje?

Kama hujui hata Toyota carina TI nazo zinaitwa tako la nyani na zinaendeshwa na madereva taksi hapa mjini.

Afu kama hujui hizo harrier ni gari zinazoendeshwa na wakina dada warembo hapa mjini,wanaume wamekimbilia kwny Kluger baada ya hizo gari kuvamiwa na wakina mama.

Ila bro umenifurahisha sana,hebu tupia picha nyingine tena hapo.
 
Acha nijitathimini inawezekana JF si jukwaa stahili yangu...hivi kuna wasio na ndinga humu ndani kweli? utasikia wewe huna gari una usafiri !!!
Kama unamiliki hoho ngoja tukuongezee nyanya na vitunguu tupate kachumbari tu mkuu,hahah.
 
Acha nijitathimini inawezekana JF si jukwaa stahili yangu...hivi kuna wasio na ndinga humu ndani kweli? utasikia wewe huna gari una usafiri !!!
Acha kujishaua wewe![emoji1787][emoji1787]...ningekuwa sikujui hapo sawa!

Kijana unamiliki mndinga wa ndoto za vijana wengi ( including me

Sema hunaga mashauzi, yaan ule mnyama ningeukamata Mimi, sio siri dunia ingenitambua!

Kudos mkuu[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo mkuu passo ni pilipili Hoho, Noah ni kitimoto, Lexus ni pepo, TI ni mkebe, etc..
Passo sijui ina nini kuna msela anasema akiiwasha passo yake asubuhi gari inatetemeka balaa mpk anasikia mwili mzima unawasha ila kakianza kutembea wala hutasikia tena.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unamiliki hoho ngoja tukuongezee nyanya na vitunguu tupate kachumbari tu mkuu,hahah.
Anakuzingua huyoo....unakumbuka ile storee nilikupa kuhusu kumuazima co- worker mnyama wa maana job? ( Hatapenda nikitaja aina ya gari lake but siku ile nilikutajia do u remember?)...Basi huyu jamaa ndo huyu![emoji1787][emoji1787]

Sema hajishaui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…