mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
100% ukweli mtupu huu.Na kweli maana mjerumani hataki mambo ya, "ungaunga mwana" wazungu wanaziita money pits. Unasave bank na kusave hela za dealership!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100% ukweli mtupu huu.Na kweli maana mjerumani hataki mambo ya, "ungaunga mwana" wazungu wanaziita money pits. Unasave bank na kusave hela za dealership!
Kwamba ni pilipili hoho ileEti "ka paso (Hoho)" nyie jamaa haya bwana...
Ww nishekusoma model zote za magari Unazijua lkn kula kwa shemeji.....Kweli kwny ukoo wetu hakuna aliyewahi kupanda lkn kwny ukoo wenu ni bi. Mkubwa wako tu ndo hua anapandishwa na wahindi.
Unajua maana ya Classic car wewe?
Nimekutajia benz naona unapata wenge ngoja nikutaje gari za kawaida ili uzidi kujiona ulivyo fala tu.
Toyota Supra/land cruiser fj40/MR2/corolla gt-s/lexus ls 400 bila shaka ulivyo duanzi pengine hujui hata toyota stout kuna watu wamegoma kuziuza na zinapiga kazi mpk leo fresh kabisaa na very rare.
We tuliza shanga kuna una ki mark X chako uza tu,lkn usilazimishe kila mtu auze chake kwa ushamba wako.
Kwamba ni pilipili hoho ile
No wonder unaanzishaga thread kila siku unaomba ushauri humu unataka kununua harrier tako la nyani hahah.Ww nishekusoma model zote za magari Unazijua lkn kula kwa shemeji.....
Ndiyo mkuu passo ni pilipili Hoho, Noah ni kitimoto, Lexus ni pepo, TI ni mkebe, etc..Kwamba ni pilipili hoho ile
Ndo maana nimekwambia ww kula kwa shemeji.....siku Dada yako akiachwa ndo utajua kwanini Toyota harrier linaitwa TAKO LA NYANINo wonder unaanzishaga thread kila siku unaomba ushauri humu unataka kununua harrier tako la nyani hahah.
Hivi ulianzisha thread humu ukisema toyota harrier G240 ndio DREAM CAR yako sio?hahah aisee
Ushamba ni mzigo sana.
Tumejifunza kupitia weweNilikua na kagari kangu IST kalikua kananisaidia sana hapa mjini (DSM) mambo yangu yalikua safi kidogo,, visafari vidogo vidogo na kukutana na warembo ilikua simple sana...
Sasa nikajikoroga kuitamani MARK X ,,Aliku nayo rafiki angu,, nilimuona anafaidi sana
Kwanini mimi niwe na IST alafu yeye MARK X,,, nikaona bora niiuze gari yangu ili niongezee pesa na mimi nichukue Mark X
Kilicho tokea nikafanikisaha kuiuza gar yangu na hapo nikawa nimekaribisha matatizo
Mpaka sasa sijafanikiwa kununua iyo MARK X niliyo itamani na sijui nitainunua lini,, pesa yenyewe naona giza, Kwani nimeitafuna
Naandika huu uzi kwa uchungu sana ninapo jiona nipo standi ya mwendokasi na kila gari inayo kuja imejaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah daah nimecheka sana aisee hahah.Ndo maana nimekwambia ww kula kwa shemeji.....siku Dada yako akiachwa ndo utajua kwanini Toyota harrier linaitwa TAKO LA NYANI
View attachment 1033305
Kama unamiliki hoho ngoja tukuongezee nyanya na vitunguu tupate kachumbari tu mkuu,hahah.Acha nijitathimini inawezekana JF si jukwaa stahili yangu...hivi kuna wasio na ndinga humu ndani kweli? utasikia wewe huna gari una usafiri !!!
Acha kujishaua wewe![emoji1787][emoji1787]...ningekuwa sikujui hapo sawa!Acha nijitathimini inawezekana JF si jukwaa stahili yangu...hivi kuna wasio na ndinga humu ndani kweli? utasikia wewe huna gari una usafiri !!!
Passo sijui ina nini kuna msela anasema akiiwasha passo yake asubuhi gari inatetemeka balaa mpk anasikia mwili mzima unawasha ila kakianza kutembea wala hutasikia tena.Ndiyo mkuu passo ni pilipili Hoho, Noah ni kitimoto, Lexus ni pepo, TI ni mkebe, etc..
Ha ha ha daah![emoji1787]Pole sana uliokua unawamwagia maji machafu saivi mmeungana
Na vitz je[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndiyo mkuu passo ni pilipili Hoho, Noah ni kitimoto, Lexus ni pepo, TI ni mkebe, etc..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji1787][emoji1787]Hahah daah nimecheka sana aisee hahah.
So huyo mama dangote akiwanalo ndo inakuaje?
Kama hujui hata Toyota carina TI nazo zinaitwa tako la nyani na zinaendeshwa na madereva taksi hapa mjini.
Afu kama hujui hizo harrier ni gari zinazoendeshwa na wakina dada warembo hapa mjini,wanaume wamekimbilia kwny Kluger baada ya hizo gari kuvamiwa na wakina mama.
Ila bro umenifurahisha sana,hebu tupia picha nyingine tena hapo.
Hahah da wity naomba lift.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakuzingua huyoo....unakumbuka ile storee nilikupa kuhusu kumuazima co- worker mnyama wa maana job? ( Hatapenda nikitaja aina ya gari lake but siku ile nilikutajia do u remember?)...Basi huyu jamaa ndo huyu![emoji1787][emoji1787]Kama unamiliki hoho ngoja tukuongezee nyanya na vitunguu tupate kachumbari tu mkuu,hahah.
Ha ha ha....mi Sina tako la nyani nina vitz[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Hahah da wity naomba lift.