Najuta! Madada Poa wa Morogoro sio poa kabisa

mbona kama chai chai
 
Hotel za Moshi na Arusha ukiingia na demu haruhusiwi kutoka mpaka upigiwe simu room kwako utowe go ahead ndio anaruhusiwa kutoka.

Inshort mademu wa Moshi Arusha hawana tabia za wizi, wanakuza utalii kwao.
Hii mambo nilikutana nayo hotel moja ipo Dar maeneo ya tip top jina limenitoka nilienda kumchakata mtoto mmoja wa geti kali jirani yangu akataka kiwanja cha mbali na asubuh mnapewa ofa ya break fast na ilikuwa bdo mpya kabisaa hyo hotel
 
Bado hujasema mpaka useme. Utalalaje na dada poa na hela ndani? Unatakiwa uwe na kiasi kamili mlichokubaliana nadba na chahe za emergency tena asizione. Nilishawahi kulala na mmoja trick niliyofanya alipoenda bafuni kuoga nikafunua godoro nikaipachika sehemu ambayo hata afanyeje asingeshtukia. Mfukoni ikabaki tulokubaliana nayo na elf 20 za ziada.
 
So akakuibia elfu 20 siyo
 
Hii mambo nilikutana nayo hotel moja ipo Dar maeneo ya tip top jina limenitoka nilienda kumchakata mtoto mmoja wa geti kali jirani yangu akataka kiwanja cha mbali na asubuh mnapewa ofa ya break fast na ilikuwa bdo mpya kabisaa hyo hotel
Breakfast siyo offer, hotel ni bed and breakfast.

Unless una project zako five star hotel ndio unawaambia nahitaji bed tu wanaondoa breakfast unapata punguzo maana unaondoka hotelini asubuhi sana kabla ya muda wa breakfast.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu alicheza km Pelee, khaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikukomeshaaa!!!
 
Breakfast siyo offer, hotel ni bed and breakfast.

Unless una project zako five star hotel ndio unawaambia nahitaji bed tu wanaondoa breakfast unapata punguzo maana unaondoka hotelini asubuhi sana kabla ya muda wa breakfast.
Nimesema hivyo kwa maana niliambiwa kwa sasa hawatoi hiyo huduma so hata mim nkacomfirm pengne ilikuwa ni karibu wageni maana ilikuwa mpya ndiyo inafunguliwa
 
Swali ni moja tu unapata wapi ujasili wa kununua malaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…