Najuta nikikumbuka nilivyokataa kuzima kamera ili wezi waibe mgodi wa Mzungu

Usijaribu hii kitu ndugu yangu, Camera zilizogungwa kiustadi kila kamera ina mlinzi wake so tangu unaisogelea ile ya awali kuipindisha tayari utakua umenaswa. Kuwa mwaminifu daima
Ingekua hivi zile cctv za pale kijiji cha wabunge ,lile tukio lingenaswa ndani ya cctv, mkuu hizi cctv zinawekwa na binadamu na ni binadamu anayejua pia the way kuizunguka, mfano magari mengi hasa SUV hapo SA yana systems nyingi za kiulinzi including camera, ila Zimbos anachukua 30s kuondoka nalo!
 
Mbesa sio mchezo usijilaumu n maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
NB.
Kama ulishirikishwa kuanzia mwanzo na kiongozi (supervisor au manager) alihusika endelea kujuta tuu mkuu..
 
Kwahyo saiv Unachomwa na jua ukiwa upande gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…