Najuta nikikumbuka nilivyokataa kuzima kamera ili wezi waibe mgodi wa Mzungu

Najuta nikikumbuka nilivyokataa kuzima kamera ili wezi waibe mgodi wa Mzungu

Usijaribu hii kitu ndugu yangu, Camera zilizogungwa kiustadi kila kamera ina mlinzi wake so tangu unaisogelea ile ya awali kuipindisha tayari utakua umenaswa. Kuwa mwaminifu daima
Ingekua hivi zile cctv za pale kijiji cha wabunge ,lile tukio lingenaswa ndani ya cctv, mkuu hizi cctv zinawekwa na binadamu na ni binadamu anayejua pia the way kuizunguka, mfano magari mengi hasa SUV hapo SA yana systems nyingi za kiulinzi including camera, ila Zimbos anachukua 30s kuondoka nalo!
 
Mbesa sio mchezo usijilaumu n maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
NB.
Kama ulishirikishwa kuanzia mwanzo na kiongozi (supervisor au manager) alihusika endelea kujuta tuu mkuu..
 
Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu. Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali. Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.

Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma. Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu. Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
Kwahyo saiv Unachomwa na jua ukiwa upande gan?
 
Back
Top Bottom