Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Kazungumzia kitu asichojua huyuHii sio kweli mkuu, sababu kwa idadi ya camera zilizopo Bulyanhulu pekee basi walizi wangekua wengi zaidi ya wafanyakazi. Na hata control room ingekua kubwa kuliko administration block
Uongo dhambi Pesa ya mzungu Sina huruma nayo wanaonijua wanalijua hiloBulyanhulu kuna jamaa alikataa deal la 50M akajidai muaminifu akaja kufukuzwa kwa wizi wa kitu cha kipumbavu kijiko cha chakula kina hafadhali
hongera ya nn wakati hata huo mgodi wanatuibia?madini yetu hakuna tunachoambuliaHongera sana hiyo itakuja kukulipa kabla hujafa
Nimefanya kwenye migodi mikubwa mitatu hapa bongo, lakini sikuwahi na sintowahi kuwa na fikra kama hizi kwa bepariKibinadamu unaweza kuonekana mjinga lakini huwezi kujua ni kwa namna gani Mungu alikuepusha na matatizo ambayo ungeyajutia kwa muda mrefu, Ulikuwa sahihi bro wala huna cha kujutia.
Hapo uliokoa uhai, na hauna haja ya kujutia katika hili maana hata alivyo kubania pengine alikua anakuhurumia asije akakuambukiza jambo lake..☺Nikikimbuka nilivyopambana hadi kuchanwa na kisu nikiokoa dada mmoja usiku asibakwe na wahuni watano na baadae akaja kunibania hata mimi, najutia sana. Ningeacha tuu wamf au ningeunga mkono juhudi
Hii sio kweli mkuu, sababu kwa idadi ya camera zilizopo Bulyanhulu pekee basi walizi wangekua wengi zaidi ya wafanyakazi. Na hata control room ingekua kubwa kuliko administration block
Si mumroge? Mnashindwa nini kumroga?Kama nafanya kwa Bakhresa yani nitazima na kumuhujumu bila huruma. Utalipaje vibarua elfu nne kwa siku? Na hukosi kuswali mara tano kwa siku?
Hiyo pia bado ngumu mkuu, mfano processing plant pekee ya Bulyanhulu inakamera zaidi ya 70. Hapo bado Underground, Where House, Compaunds and Perimeters, Entre and Exit, Work Shops, Training, Administration and Finace, Camp na kadhalikaNadhani mleta hoja amemaanisha kwamba kwa kila camera kuna camera nyingine inayomlinda camera mwenzake ,, hivyo kabla ya kuisogelea camera yoyote kuipinda utakua tayari umenaswa na camera nyingine.
Lakini kwa maelezo Ni "yeye tu" aliyegoma wengine wote walishakubalina na hali. Ina maana hata hizo camera zingine zilishakubali "kupiga"Nadhani mleta hoja amemaanisha kwamba kwa kila camera kuna camera nyingine inayomlinda camera mwenzake ,, hivyo kabla ya kuisogelea camera yoyote kuipinda utakua tayari umenaswa na camera nyingine.
Sasa anajutaHongera sana kwa uaminifu wako....
Hao wazungu wanaovuna hizo mali wanamsaidieaje?Hauna cha kujutia bro moyo mzuri uko nao na mshukuru Mungu na wazaz wako, pambana pesa ya halali iko na baraka
Ukihojiwa kwanini zilikuwa zimepinda na hazitakiwi kupinda, wewe kazi yako ni kuhakiki kama zipo on na zina face the right direction.Je ungejibuje?Why ilitakiwa hizo cctv zizimwe?ilitakiwa hizo camera zinazoface eneo la tukio zipindishwe kutoka eneo husika, ndivyo walivyofanya wenzako na sasa wanaishi maisha wewe unalalama,u snooze it .....,maisha bila to take risks ni vilio
Hii ni deal kama ya Rajpar, ikitiki ni kuhama nchi!Ukihojiwa kwanini zilikuwa zimepinda na hazitakiwi kupinda, wewe kazi yako ni kuhakiki kama zipo on na zina face the right direction.Je ungejibuje?
Mfano isipotiki au imetiki unachomoka vipi kwenye vyombo vya sheria au kuhama kwa milioni kumi?Hii ni deal kama ya Rajpar, ikitiki ni kuhama nchi!