NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

Duuu jamani wapo wanawake ambao ukioa tuu na mafanikio hayo ndani ya nyumba.
Wapo wanaume wamefaniliwa kwa sababu ya uwepo wa mke wake ndani ya nyumba.
Nimesota mtaani miaka 4 baada ya kumaliza chuo. Napata vijisenti vya kula tu na maisha ya kawaida kwa mishemishe za kitaa. Lakin nilipo oa tu baada ya miezi miwili nikaajiliwa serikalini, huohuo mwaka nikalima nikafanikiwa mno kwenye kilimo.

Badae nikafanya ujinga flani, nikaachana na huyo mwanamke, aiseee nilichukiwa na ukoo wangu mzima. Wazee wakasema " kama umemuacha huyo mwanamke usije kukanyaga kabisa nyumban hapa tena na hata tukifa usikanyage msibani" hapo nimewekwa mtu kati maana nilienda likizo home. Ikabidi nimfate tena mwanamke kwao.

Nashukuru Mungu mpaka leo tuko vizuri na mafanikio yapo nayaona kabisa. Kweli mwanamke huwa unabaraka zake hata kama hana kazi ya kueleweka lakin uwepo wake ni moja ya mafanikio. Japo si wanawake wote.
 
Ndo kilichotakiwa kifanyike, tena ingekua kimya kimya mkewe hata asingejua
Kwamba mke huwa haendi kwa mama mkwe wake? Yani sasa hapo kinyongo kingejitanua mpaka kwa mama mkwe na familia nzima.
 
Kosa kubwa sana mara nying kumfungukia mwanamke UKWELI.....
 
Mkuu tishia kujiua. Mkeo atakuelewa

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Una wazazi kwakweli! Zingekuwa familia nyingine ungeambiwa wanawake wapo wengi tafuta mwingine! Ningepata wakwe kama hao hapana ningejidai sana.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Isomwe na michepuko, dada hafai tena wakati alikusitiri, ulivyo na roho ndogo ukijua wife nae ana kamchepu kake au akikubambikia mimba tunakuzika,, pambana na hali yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2210][emoji2088]
 
Maji yakishamwagika hayazoleki...
 
Moja ya andiko bora kwenye jukwaa hili kati ya yale ambayo nilishawahi kuyapitia.
 
Naelewa unachopitia. Hata kama mwanaume unajiweza kiasi gani kwenye ustawi wa familia ushirikiano na mke wako ni jambo la muhimu mnoo
 
Kuzaa nje unatengeneza undugu wako mwanamke muda wwte anaondka aweke kukuamin asikuamin hiyo ibaki juu yake zaid ww komaa na damu yako
 

Huyu mke kaamua kutafuta kwa ajili ya watoto wake tu
Kitu ambacho hata Mimi ningefanya
Hamtesi mtoto hilo linatosha
 
Huyu mke kaamua kutafuta kwa ajili ya watoto wake tu
Kitu ambacho hata Mimi ningefanya
Hamtesi mtoto hilo linatosha
Inaumiza sana unakaa na mtu vizuri kumbe mwenzako msaliti na bado anawish muendelee kuwa sawa. Mumewe Wacha akipate cha moto usaliti haujawahi kuwa na faida hata siku moja basi tu huwa tunajitoa ufahamu.
 
😁😁😁Ninavyowajuwa wanawake hapo Nyumbani hata chumvi iishe mpaka ununuwe wewe, maana una pesa za kuhonga michepuko.😁😁😁

Umenikumbusha mmoja mtoto aliomba pencil ya 400,akampigia mumewe yuko mtwara atume 400 ya pencil, wanawake shikamooo😁😁😁
 
Hata sipoenda nje hali ni tete tu kwa walio wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…