Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Igeuze hii story iwe mke kazaa nje halafu usome comments za wadau, uniambie kama shit happens.Shit happens mpnz, hakuna mkamilifu.....
Mie nimekumiss
Miss you too babe, kesho nitakucheck
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Igeuze hii story iwe mke kazaa nje halafu usome comments za wadau, uniambie kama shit happens.Shit happens mpnz, hakuna mkamilifu.....
Mie nimekumiss
Kabisaaa,ogopa sana,Watu wasioongea ni hatari sana. Anaweza kuwa zake kimya kumbe kuna mambo ya kutisha yanaendelea kichwani mwake.
Mke wake ni aina ya watu wasiojua kusamehe...ukiachana na ishu kwamba tayari kosa limefanyika...,Mimi sio mwanaume laini nafanya maamuzi Kwa kuangalia reaction ya mwanamke..
Huyo anatakiwa apelekewe moto Hadi akili zikae sawa.
Hii kitu usiombe ikukute, utasamehe lakini inachukua muda sana kurudi normal.Mke wake ni aina ya watu wasiojua kusamehe...ukiachana na ishu kwamba tayari kosa limefanyika...,
Yaani wapo hivyo na hapo uenda ana miradi yake pembeni hahahaha
Aisee dhambi uzaa mauti
Mkee akizaa nje hapa itakua ni story za kimalaika.....ukishawajua you just put them somewhere down to suck your ass babeIgeuze hii story iwe mke kazaa nje halafu usome comments za wadau, uniambie kama shit happens.
Miss you too babe, kesho nitakucheck
😅😅Mkee akizaa nje hapa itakua ni story za kimalaika.....ukishawajua you just put them somewhere down to suck your ass babe
Igeuze hii story iwe mke kazaa nje halafu usome comments za wadau, uniambie kama shit happens.
Miss you too babe, kesho nitakucheck
Wanaume hawana huruma ila wao wanataka waonewe huruma.Wanatetea hawa balaa angekuwa mwanamke kafanya kosa humu angetukanwa akajuta
Wanaume hawana huruma ila wao wanataka waonewe huruma.
Nampongeza mke wake... Aendelee hivyo hivyo
Mwanamke hajalazimishwa kubaki angedai talaka, msilete huruma dai talaka, tengana maisha yasonge.Wanatetea hawa balaa angekuwa mwanamke kafanya kosa humu angetukanwa akajuta
Naam. Nakubaliana nawe. Umenigharimu sana in terms of peace of mind..mtu sometimes unabaki na interpersonal conflictuzinzi haujawahi kumuacha mtu salama
[emoji16][emoji16]mpka ufike 70,mimi wangu wawili wote anawajua istoshe mmoja nahalalisha awe mke mdogo uwoga sinaMkuu wewe ni matako,Yaani mtto mmoja tu wa nje Kila mtu anajua?Jifunze kuwa na kifua.Hapo umekosea timing,Mimi wa kwangu anahisi tu mpaka Leo,ila nasubiri nikifikisha 70yrs yeye atakakuwa 69,yrs,ndio nafanya utambulisho wa kibabe,najua atakuwa ashapauka Hata kuniacha ataona uvivu.
Siku zote ukitaka kuoa usioe mbali na kwenu ni rahisi kujua kma familia ya mwanamke inashida...unaweza kuoa ukaishiwa plus matatizo mpka uwe kapukuMimi nilipochumbia tuu,nikajitambulisha kisha nikalipa 1/4 ya mahari.
Nikaanza kuporomoka kimaisha mpaka nakuja kushtuka dah acha kabisaa nimefilisikaa kuanzia mali,kipesa na rasimimali watu.
Kumbe niliingia mlango usio sahihi.
Wakuu,tuwashirikishe wazee wetu kabla hatujapiga hodi kwenye nyumba za akina binti.
Inaumiza hakika,ila mke wake inabid amsamehe tu,maana hayupo tayari kuachana naeHii kitu usiombe ikukute, utasamehe lakini inachukua muda sana kurudi normal.