NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

Mungu Akupe mtihani wa kutoka nje ya ndoa?? Labda miungu.
 
Pole sana jamaa
 
Funzo kubwa, mara nyingi kichwa cha chini kinatuponza sana.
Jipe moyo , songa mbele brother.
 
Kubali tu matokeo
Kuna price hadi kwenye makosa na hio ndo yako we pambana mwenyewe acha kuwaza huwezi pekeako mtendee mema maisha yaendelee
 
Mother umri wake ni mkubwa now.
Afu nikimtoa yeye mwenyewe si atashitukizia
 
Mimi naona bidada yupo sawa tu kaamua kuwa bize na mambo yake na uzuri hamnyanyasi mtoto basi baba mtoto apambane na hali yake. Usaliti unauma sana, ujue mtu kachepuka haitoshi kakuletea na kiumbe ndani aiseee ni wachache sana wanaoweza vumilia hiyo kitu.
 
Bora kuleta kiumbe kuliko kuleta mauti( magonjwa) nyumba mzima.
Inaogofya
 
Maisha ni machaguo ukiona hupati nae furaha,piga chini oa mwanamke mwingine why upate stress.
Mkuu ndoa yetu ni ya kikatoliki,
Sexy tunaendelea fresh hajawahi kuninyima,
Ila ni ule ushirikiano wa kimaendelea ya familia ndo haonyeshi kabisa. Majukumu mengine kama mke anafanya fresh.
Ni ushirikiano hana kabisa na mimi, hata kunishauri kama mwanzo hakuna.
 
Huyo hajui kama mapadre wana Watoto kwa siri na wanawahudumia kwa siri.
Mapadree wana watoto na watoto wanaishi vizuri, kipindi nasoma mafundisho Kuna madogo wawili wanaishi na padre wakawa wanasema wametokea mazingira magumu lkn hawaelezi location walipotokea, nlivokua mtu mzima ndo mzee akanambia wale ni wadogo zako (baba mdogo ni Padre alizaa ktk harakati za kusambaza injili)
 
Sijaona kosa lolote hapo,,yaani nimkane mwanangu kisa mwanamke? Hupaswi kujutia lolote. Labda kama wewe unategemea kipato cha huyo mwanamke kimaisha. Be a man.
Tupo wengi tuna watoto nje,
Cc Equation x
Kaka kinachoniuma ni ule ushirikiano wa mwanzo ambao ulikuwa unaleta matunda kwenye familia , yani mafanikio makubwa , tulikuwa na ndoato kubwa Safi sana, Amini bro tulinunua kiwanja ili baadae tushishe mjengo mmoja.
Hayo yote yamekatika kaka,
Kupambana najitahidi sana mimi binafsi coz mimi ndio Baba wa famialia.
Ila kokosa ushirikiano hata wa mawazo kutoka kwa mke inaniuma sana.
Maana niliona mwanzoni mawazo yake na ushirikiano wake ulivyokuwa na mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…