NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

Nasema hivi,PIGA CHINI huyo mwanamke.
 
Mother umri wake ni mkubwa now.
Afu nikimtoa yeye mwenyewe si atashitukizia
Acha ujinga wewe!! Muondoe na atasahau tu. Wanawake ni wazuri kusahau. Usimpeleke kwa mama yake huyu mtoto kwani atadhani unaendelea naye. Tembo hashindwi kubeba mkonga wako, mama yako hata kama ana miaka 100 ataishi naye ukimwekea housegirl. Kwanza huyo mtoto hapo alipo anateseka huwezi jua. Wanawake ni hatari halafu unadai ni mpole. Wapole weka mbali ujue. Atakuwa anamdhuru kisaikolojia.

Mweleze mke wako kuwa unataka kumtuma nyumbani kwa mama yako ili akafanyiwe mila maana si mtoto wa ndoa. Useme anaenda kukaa wiki mbili. Akiondoka ndiyo jumla. Ukifika kwa mama yako mwombe baada ya mwezi aseme mwache akae hapa. Utakuja kunishukuru baadaye. Tumeishi na mama zenu kwa kutumia akili sana ujue. Una swali lingine?
 
Mkuu wewe ni matako,Yaani mtto mmoja tu wa nje Kila mtu anajua?Jifunze kuwa na kifua.Hapo umekosea timing,Mimi wa kwangu anahisi tu mpaka Leo,ila nasubiri nikifikisha 70yrs yeye atakakuwa 69,yrs,ndio nafanya utambulisho wa kibabe,najua atakuwa ashapauka Hata kuniacha ataona uvivu.
 
Sasa hapo kamsaliti, atashindwa nini siku moja kufall in love huko nje, halafu wawe tayari washawekeza kwenye vitu vingi, ndoa ikivunjika huyo mke ataanza wapi maisha yake
Kila mtu na uelewa wake.
Alf swala la ndoa kuvunjika kwa kitu kidogo kama hicho utakua ni upuuzi
 
Kwakifupi hapo mkeo nae anapigw nje

kuna mtu anatoana nae ushirikiaon uko nje

Hawa watu ni wazur kulipiza
Uko sahihi katika hili Niko Kwenye mahusiano na mwanamke anaepitia hali km hii nimejitahidi kumkwepa kadri ya uwezo wngu baada ya kugundua alianzisha mahusiano hya baada ya kukutwa na hyo changamoto. kinachoshindikana kwke ni kuvunja tu ndoa c unajua ndoa za kikristu
 
We kweli kichwa box ulitakiwa umpeleke mtoto akiwa na miaka 20 ili akawatambue ndugu zake.
 
Kama uliomba msamaha mbele za Mungu na bado unaendelea kuteswa na dhambi hiyo basi una tatizo.
Mungu akiombwa msamaha husamehe within mil second na haikumbuki tena hiyo dhambi .
Mwanamke halei mtoto aliyemzaa mwenzake, hasa yule wa mume wake.
Hapo issue inayomtesa ni kumlea mtoto wako ambaye hamjmzaa wote na sio usaliti ulioufanya.
Ungelijua mapema yasingekukuta hayo.
 
Mwanaume unatakiwa uwe jasiri
Kwanza angetakiwa ampangie huyo mama wa mtoto chumba hata cha elfu 50

Pili asubiri mtoto akue akishakua hata mkewe akijua anamwambia huyu nilimpata kabla ya ndoa

Kuishi na mwanamke kwa akili mda mwingine utumie uongo ukiwa mkweli sana kwa mwanamke sio tu kuwapata hata kuishi nao utafail

Uongo ninaoungelea ni ule wenye tija na faida sio ule siokua na tija
 
Sio kweli kuna msamaha na kuuponya moyo
Msamaha unaweza omba na ukasamehewa ila moyo umeshapondeka

Kuuponya moyo uliopondeka ni process ambayo itachukua mda na inavyoonekana mleta uzi hajafanya attempt yeyote ile ya kuuponya moyo wa mke wake

Ugumu ni kwamba mwanamke ni decent na alitokea kumuamin sana jamaa alafu ogopa mtu unamwambia jambo gumu na anakubali kirahisi hao watu ni hatari sana
 
Na mimi najuta nimetoa mimba nyingi, naomba tusameheane!
 
Tafuta hela wewe,ili majukumu yote ufanye mwenyewe kama baba. Inaonekana unategemea kipato cha mkeo.
 
Naam mkuu. Hawa madogo hawaelewi hizi falsafa. Waelekezwe
 
Pole hizo ndio consequences za zinaa mkuu,hapo ni kama vile umejikata kidole hakiwezi kurudi tena mahali pake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…