NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

Mungu Akupe mtihani wa kutoka nje ya ndoa?? Labda miungu.
Atasurvive tu sasa afanyaje kwani Mungu asamehi?

kukubali dhambi na kuichukia ni hatua nzuri ya kutambua kosa mbele ya Mungu.
 
Atasurvive tu sasa afanyaje kwani Mungu asamehi?

kukubali dhambi na kuichukia ni hatua nzuri ya kutambua kosa mbele ya Mungu.
Kusamehe sawa, lakini kusema hilo jaribu kapewa na Mungu, ni kuendekeza au kuhalalisha makosa...
 
HOSEA 1 :2-9

Kwa taarifa yako mambo yako yalianza kudorora tangu ulivyoanza kuhusika kumsaidia huyo mtoto tangu akiwa huko kwa mamaake.

Nasikitika kuona hata viongozi wa dini hawana macho ya kuweza kushauri juu ya mambo kama hayo.

Achilia mbali wazazi wetu.
 
Yani mume wake alizaa nje.
 
Kusamehe sawa, lakini kusema hilo jaribu kapewa na Mungu, ni kuendekeza au kuhalalisha makosa...
😆😆Mtihani huo kwa wanaume si unajua kuchepuka ni kawaida ,sasa jaribu limemshinda kapata tatizo ..Na hilo tatizo ni mapito ya kidunia atakuja kusahau.

Kila binadamu ana tatizo linamsumbua kikubwa ni kuomba na kukubaliana na hali.
 
Pole sana, siku jaribu kumtoa out na mkiwa huko mweleze namna unavyo umia kwa tendo lako baya, pia msifie jinsi alivyo mke bora na ni yeye pekee unayemtegemea kama msaidizi wa familia kwa faida ya watoto wenu na jinsi unavyo umia kumkosa.

Pia mwambie wazi tu ikiwa mtoto huyo kama yeye hapati amani nae basi unaweza kumtoa labda umpeleke kwa mama nk. inakupasa ujitahidi kujua kile kilicho ndani ya moyo wake na kurejesha mambo yote kama mwanzo. Wanawake wanahuruma kwa mtu mnyenyekevu usishindane nae hutaweza.
 
Hayo maamuzi ya kumleta mtoto wa nje kwa mke wako hukuwaza sawa sawa kabisa, ngoja naye atafute wa njee akuletege ndiyo utajua inavyoumiza! Ila pole umeyakoroga haswa
 
Pole
 
Kwani huyo mkeo hajawahi kufanya dhambi toka azaliwe?
,Ulimkuta bikra mpaka wewe asikuridhie kuteleza?
Muombe msamaha mola wako Kwa kuteleza kufanya uzinzi kwasababu wewe ni kiumbe dhaifu tu,,,,
Viumbe tumeumbwa kusameheana makosa lazima na siyo malaika sisi atakaa hivyo mpaka lini.?

Lea mwanae Acha woga Hujui mbele Atakaekuletea chakula nani hao wanawake huwa wanakimbia Lakini damu yako huwa haikati tamaa
 
Sijaona kosa lolote hapo,,yaani nimkane mwanangu kisa mwanamke? Hupaswi kujutia lolote. Labda kama wewe unategemea kipato cha huyo mwanamke kimaisha. Be a man.
Tupo wengi tuna watoto nje,
Cc Equation x
Best Comment of the Thread. Case closed! Ukiwaogopa sana wanawake wanakuendesha haswa. Ishatokea hakuna haja ya kujuta! Hakuna kosa
 
Hujafanya kosa lolote na pia hongera sana ungekuwa mwoga ungetelekeza mtoto wako. Cha kufanya wewe pima kama mke wako anakupenda au hakupendi. Ukitaka kumjua kama bado anakupenda badilika.

chukua mtoto wako peleka kwa bibi. Nyumbani usikae wala nini hakikisha kwamba unapunguza attention na mke wako na usirudi home na ukisafiri usitoe taarifa just mjulishe mwamba leo sita rudi

Kama anakupenda hiyo ndiyo test atakuulizia na itamuumiza lakini akikupotezea my brother achana naye.
 
Nadhani unge muomba ushauri Baba yako usingefika hapo.
Kama ameshafariki pole sana.
Uliweka mbele hisia kuliko uhalisia, ni kitu kidogo tu unamuacha kwa mama yake huku wewe unamtumia matuimizi keisha habari.
 
Kosa la jamaa,anamtegemea mke wake kiuchumi.
 
Pole mkuu,ilitakiwa busara sana kabla hujalifikisha kwa mkeo,hua tunazaa nje lkn hatuweki wazi kwa wake zetu mapema...kama mazingira hayakua mazuri,ungemfungulia biashara huyo mwanamke, ukampa ushauri akomae na hiyo biashara baada ya muda ahame huko uswahili,huku ukiweka bajeti ya kila mwezi hata kama 50000,kwa sababu biashara anayo angeweza ishi vzr,mpk umri wa mkeo angefika kwenye miaka 40+ hapo ungeweza kumwambia ukweli,lkn kwa sasa huyo mkeo anaweza chepuka ili apate faraja na akazaa nje ili kulipa kisasi.
 
Tumezaa nje na mke hajui...kosa ukishafanya unatakiwa upate busara namna ya kuhandle
 
Kumsogeza huyo mtoto na ndugu zake nikitu kizuri sana wataishi kwa upendo na kujuana vizuri,alafu Kila binadamu Ana fungu lake mwenyezi Mungu alilompangia usitamani kuishi Kama wengine maana wapo wanaotamani kuishi Kama wewe,wewe mwambie mwenyezi Mungu ahsante mengine ni changamoto tu zakidunia pambana zitaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…