Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua gari jipya (lorry) la mchina aina ya FAW kwa sh 90m halafu piga mishe za kusafirisha mizigo. Baada ya mwaka mmoja utakuja kunishukuru.Sasa mkuu hapa nimebaki namtaji wa 150m..nawaza biashara zingine kabisa zitakazo run kwa pesa hiyo ikakua faster nirud ktk game vizur
Faw na teller lake ndo 90mNunua gari jipya (lorry) la mchina aina ya FAW kwa sh 90m halafu piga mishe za kusafirisha mizigo. Baada ya mwaka mmoja utakuja kunishukuru.
Hapana, ni ile box bodi.Faw na teller lake ndo 90m
Ukitaka maelezo zaidi nenda pale TAZARA Flyover mbele kidogo upande wa kulia wa barabara ya Nyerere (zamani Barabara ya Pugu). Kuna show room za Wachina, bodi unaweka mwenyewe au wanakujengea wao.Faw na teller lake ndo 90m
Basi hujaaribu kitu... Kuwa tu na Subira na kiasi ulicho nacho kisimamie tu vzrMkuu kwa saa hizi nikiuza hayo majengo nitakua kama napata hasara tu maana Yako sehemu potential sana kwa baadae, baada ya miaka 10 pesa yake ni ndefu mno nikisema nipauze.
Sasa unalalamika nini boss? Shukuru hata umeinvest kwa real estate..tujifunze kushukuru kuna watu hata chumba kimoja hawana ..nilichojifunza mwaka 2024 ni kusema asante mara nying unaongezewa pale padogo.Mkuu kwa saa hizi nikiuza hayo majengo nitakua kama napata hasara tu maana Yako sehemu potential sana kwa baadae, baada ya miaka 10 pesa yake ni ndefu mno nikisema nipauze.
SAWA MKU, MAPAMBANO YAENDELEENever give Mkuu, 2-3 years back na mimi nilikuwa budget yangu ni buku 1 kwa siku, hapo naishi home maisha magumu sana, ila huwezi amini leo hii 2024 na mimi Mungu kashusha neema ya kuhesabu angalau 10M plus… naamini kwa mwendo naenda nao kabla ya 2030 ntakuwa nimefika huko sababu hata umri bado unaruhusu.
Wakati mwingine kujenga ni kuzik hela/mtajiNi kweli usemalo ila kama pesa hiyo nisingewekeza ktk majumba Leo hii ningekuwa na uwezo wa kujenga majengo ya thamani hiyo maana mzunguuko wa biashara ungekuwa mkubwa sana sababu ya mtaji ni mkubwa na faida ingekua maradufu.
📌Tatizo la jf unaweza kuwa unaemshauri mtu hii mipango mikubwa kumbe mwenzio yuko kwenye foleni kwa mama ntilie anasubiri dona lake la buku jero na dgaa kaamua kuchangamsha jukwaa
Waongea kinyumeche...u maMkoa je?Habari wakuu, nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya, ukipata pesa wekeza katika biashara na si majengo. Fursa nyingi zimenipita kutokana na mtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida nilipokuwa naipata haikurudi kuwekeza katika biashara zaidi.
Matokeo yake wakati fursa naziona Sasa mtaji hautoshi bidhaa zingine nashindwa kuzinunua sababu mtaji hautoshi, sehemu ya faida haikurudi ktk biashara zaidi ya kwenda kwenye maujenzi ambayo hayaniingizii pesa ya maana tofauti na ambayo hizo pesa zingekuwa katika biashara.
Wengine twamiliki meli na tumo humu 👍Hivi watu wenye pesa nyingi kama wewe nao huwa wanazurura humu jamiiforums? Najua humu tupo hohehahe hata kama tuna elimu ila pesa hatuna maisha yetu ungaunga mwana tu vitoto viende shule tulipe kodi ya nyuma makazi na nyumba biasha, tubadili mboga home mara mojamoja, kiofisi cha kiaina basi.