Najutia kupata Mke kupitia Facebook.

Najutia kupata Mke kupitia Facebook.

Pesa ukishaishika mkononi unafanya lolote hata ukitaka kuoa wake watatu kwa mpigo unaoa Pesa ipo sasa subiri Pesa iishe hakuna rangi utaacha kuiona
✍️
Kwakweli inaweza kua sababu pia😃
 
Kwakweli inaweza kua sababu pia😃
Ndio hivyo mahitaji yakizidi vicoba haviishi ulikua unatumia 200,000/- kwa mwezi kipindi upo bachela mara paap umeongeza jiko ndani sasa kwa mwezi unapukutisha 700,000/- mpaka 1,000,000/- mtu anachanga vicoba kila siku kichwa lazima kiwake Moto

Bora amestuka,, hajachelewa sana bado
 
Sasa unailaumu Facebook kweli?

Hapo shida ni huyo demu wako tu. Unahisi hata ungekutana nae kanisani huyo demu baada ya kupoteana asingekupelekesha?
shida ni yeye mwenyewe kwani alikuwa anaharakisha nini? Pengine hata hawakuwashirikisha wazee.
 
Back
Top Bottom