Elections 2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

Tuombe uzima bado tutaendelea kupatwa na mshangao zaidi kuhusu huyu Binti..
nadhani kaahidiwa maziwa na asali
 
Wasanii wajiita kiio cha jamii na huyu naye ni kweli kioo cha jamii?
 
Tuombe uzima bado tutaendelea kupatwa na mshangao zaidi kuhusu huyu Binti..
nadhani kaahidiwa maziwa na asali

Kwa ni yeye na upekee gani (perculiarities) kiasi cha kudhani kuwa atatimiziwa ahadi zake? Au kuvushwa namba kwenye que? Kwa sababu watu wenye ahadi za Mkuu wako kwenye mstari unaweza kutoka Dar hadi Mwanza. Labda yeye kapiga kono (washikaji wa JKT wanaijua hiyo) na kurudhwa hadi Chalinze!!
 
Ameimba Mr. Politician kwa kutoka moyoni au aliandikiwa mashari? Kama ingekuwa inatoka moyoni kama akini Bob Marley, Dr. Remy etc basi hiyo tamaa ya vipande vichache vya fedha insingekuwepo
 
Nakaaya Sumari: ‘The truth always hurts’ (interview)
In this interview the Tanzanian singer Nakaaya Sumari explains why she sings about corruption, inefficiency and discrimination in her hit song ‘Mr Politician’. She talks about ‘the inconvenience of truth’, and also about musicians’ self-censorship, and the strong role which music plays as a tool for communication in East Africa.

http://www.youtube.com/watch?v=FveIk8e2DRU&feature=player_embedded#!
Nakaaya Sumari is a singer and songwriter who became famous in East Africa in 2006 when she was a cast member on the popular East African reality-show ‘Project Fame’. She didn’t actually win the contest, but became a fan favorite, winning the hearts of her viewers through her passion and dramatic flair.
 

SHAME ON YOU NAKAAYA SUMARI.
Huyu anatakiwa awekwe hadharani alafu azomewe na watoto wadogo mpaka ajione yuko uchi.
 
Last edited by a moderator:
she has turned into a bigger hypocrite than the politicians she is criticizing in ' the truth always hurt' interview ........:confused2:
 
iweke tena Rev au nitumie mimi niiweke

Kwa kweli hawa jamaa huwa wana maudhi sana! Post haikuwa na matusi na theme tofauti wanaunga unga tu! sijui nani anawaamuru haya Ninawatusi kimoyo moyo, hasa yule MOD mwenye huo mchezo mchafu! Anachakachukua kila kitu cha Mchungaji

Check ur PM
 
Mwafrika, mbona unamtetea sana!!!! Ingawa simfahamu huyu mtu nasikitika sana kwa yeye kukubali kununuliwa na mafisadi. Ukumbuke kuwa ahadi za JK si za kuziamini sana!!!

Mheshimiwa Zero,

Mimi nachotetea hapa ni uamuzi wa Nakaaya kuhamia ccm. Unakumbuka nilitetea uamuzi wa Mpendazoe na Shibuda kuhamia chadema. Nilifanya vile kwa vile ninaamini katika haki ya kuchagua cha kufanya. Haki ya kufuata hisia na utashi wako.

Nakaaya amefanya kile ambacho hisia zake zimemuaminisha kuwa ni kizuri kwake. Nikianza kulia na kusaga meno, nitakuwa napoteza machozi yangu. Nikianza kumponda, nitakuwa napoteza muda.

Hata hivyo ninaelewa hisia na picha mbaya hili tukio lilizoleta. Sitakuamulia cha kufanya mkuu. Najua watu wengi sana wana data kibao za Nakaaya na wanazimwaga hapa. I am all for that too. Kwa sasa mimi nina samaki mkubwa wa kukaanga - fisadi kikwete
 
Nilianzaisha topic hapa na Kichwa cha Habari "Sheikh Yahya kumuongezea Ulinzi Zaidi JK" Imeshachakachuliwa, kuna mods humu wananifanya sometimes nikose imani na hili Jukwaa
 
Nilianzaisha topic hapa na Kichwa cha Habari "Sheikh Yahya kumuongezea Ulinzi Zaidi JK" Imeshachakachuliwa, kuna mods humu wananifanya sometimes nikose imani na hili Jukwaa

Jana walihamisha mada zangu mbili kuhusu ujambazi wa Kinana,
Nililia kama mtoto na ikabidi nikapepewe na mganga wa JF - tandaleone ila haikusaidia
Nikaamua kwenda kufanyiwa maombi na Rev Masanilo - leo najisikia salama
 
Kwa kweli hawa jamaa huwa wana maudhi sana! Post haikuwa na matusi na theme tofauti wanaunga unga tu! sijui nani anawaamuru haya Ninawatusi kimoyo moyo, hasa yule MOD mwenye huo mchezo mchafu! Anachakachukua kila kitu cha Mchungaji

Check ur PM

Pole sana mchungaji, nimeiona
 
Sheikh Yahya aliwaita waandishi wa habari akawaambia kwamba amegundua kwamba kinachomwangusha JK ni Nguvu zisizooonekana na akaahidi kuongeza Ulinzi Usioonekana kwa mgombea huyo, sasa nimeandika headind sahihi wao wakaona waingunanishe na Thread nyingine ambayo ilikuwa tafauti kabisa
 
Nilianzaisha topic hapa na Kichwa cha Habari "Sheikh Yahya kumuongezea Ulinzi Zaidi JK" Imeshachakachuliwa, kuna mods humu wananifanya sometimes nikose imani na hili Jukwaa

Kuna Moderation ya ajabu sana hapa " Ya Ya" aliweka Post ya Ubakaji wa Mapadri" ilikaa masaa 4 Nikaweka Post inayo mhusu Ustaadhi mmoja akifanya dhambi Madrasa na mtoto wa miaka 6 haikukaa hata dak 8 ikapotezwa. Leo tena kama kawaida yao wameona aibu kuipoteza wameunga kwenye daraja la mpapai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…