maweee, hii ni kweli? basi hapo hamna kitu tuna boya tu, yaani kama uwanjani tunasema goli halina golikipa ila kuna jezi tu, anyway ndiyo bye bye tena atakumbuka historia tuUkifuatilia kampeni za ccm utapata sababu za Nakaaya kukimbilia huko. CCM haina hoja za kuwavutia wasikilizaji wake kwenye mikutano yao ya kampeni. Asilimia takribani 80 za muda wao wa kampeni hutumia kutumbuiza adhara iliyopo, zinazobakia ndio hutumika kuwasilisha hoja zao kwa wananchi.
Kwa hiyo haishangazi kuona wanaongeza msanii mwingine, kwani wataingia mzunguko wa pili muda si mrefu hivyo wanahitaji vitu vipya vya kisanii.
Fikiria, JK anafikia hatua ya kuomba msanii fulani apande jukwaani kuburudisha badala ya yeye kuendelea kushawishi wasikilizaji wake ili wamchague. Alifanya hivyo kwenye Uwanja wa Sokoine pale Mbeya, alimwita Kazita kwa sauti akitumia kipaza sauti na kusema "Kazija njoo utuibie wimbo wako." Kazija hakutokea, naye akateremka kutoka jukwaani ukawa mwisho wa hotuba!!!
Kampeni za CCM ni fiesta nyingine, haina tofauti na ile inayojumuisha vijana wa muziki wa izazi kipya. Safari hii hata Komba hana nafasi, amefunikwa na kina Malowa, Bushoke, Kazija, kina Juma Nature na wengine!! VK sasa mambo yametulia, hajisumbui sana, kwa hiyo anahitajika wa kuchukua nafasi yake!!!!
umekosea. Kinajadiliwa kinachomhusu na wala si yeyeBinafsi si mshabiki wala mwanachama wa chama chochote kile.Lakini ninavyoona hii thread inaonyesha wazi kuwa huyo mtu ni influential na ndio maana hata hapa mmechukua muda mrefu kumjadili .Kama Paka mweusi ndio angekuwa kaenda CCM wala msingejisumbua hata kuweka thread hapa.Hivyo kwa mtazamo wangu nawaomba Chadema nao watafute njia au propaganda yoyote kujibu mapigo jukwaani kama walivyofanya wao.Maana hapa tatizo si kuwashawishi wakereketwa wa vyama bali ni kuvuta hisia na mawazo ya watanzania ambao si wanachama wa vyama vya siasa na wale ambao hawajajua bado watamchagua nani.
Hii kuhama chama inaweza hata kumnyang'anya washabiki wa muziki wake. Labda awe ameamua kufanya siasa kazi na ahadi ya uDC
]umekosea[/COLOR]. Kinajadiliwa kinachomhusu na wala si yeye
Kweli mkuu,nakumbuka 1995 mnazi mmoja alipopanda jukwaani na kumwaga verse ya "mmachinga anasota,huku gabac**ri ankunywa juice!"...loong time.I beg to differ... Sugu alianza uharakati kabla nakaaya hajaiba hata benki, sugu was not inspired by Nakaaya kama unajua vizuri histroria ya sugu utanielewa, mkoloni na dr joni walianza harakati from their fvery first song na wanajulika wazi, kumbuka kwamba nakaaya bado ni new generation ingawa she is a talent, kusema nakaaya alimisnpire sugu ni sawa na kusema Ali kiba aliminspire Professor Jay
Tulikua na too proud, hard blasters, kwanza unit na wengine mkuu, wote walikua wanaharakati... ni Clouds na Mkuu ndo wamekuja kubadili upepo na ukumbuke hata akina nature, Temba ni njaa ndo inawaweka pale clouds maana album haziuzi ni concerts na jingle ndo zinazolipa
Now pia tusisahau Karama wa bock 41 - KIKOSI CHA MIZINGA naye yuko kafu and ni mwanaharakati mzuri without nakaya inspiration
LETS NOT MIX UP THINKS HERE