Nakabwa usiku na kitu nisichokiona

Nakabwa usiku na kitu nisichokiona

Fua mashuka
Usile sana usiku
Usilalie upande wa kushoto
Acha kuangalia movie za kutisha usiku
Lala na demu usiku
Vuta bangi ikibidi
Kula kitimoto
Nani kakuambia jini au pepo anaogopa bangi au kitimoto mengine hadi hivyo yanagonga bangi na kitimoto kama kawaida
 
Nitafanyaje sasa mkuu nishaamua kuachana nalo kulalake zake, Yani sometimes ni kama nakuwa macho ila siwezi kufanya kitu yoyote zaidi ya kujitahidi kutumbua mimacho. Ila kwangu nadhani tatizo ni hii nyumba ninayoishi coz nikilala sehemu tofauti sikutani na huu ujinga.
Mwenye nyumba kaweka mambo Ili wapangaji wawe wanahama wenyewe
 
Kuwa msafi kuanzia mashuka, kama mashuka yananukia manii, jasho au maji maji ya uke au boxer zako Zina harufu ya mikojo au manii Hilo dude litakuandama Kila siku kingine punguza punyeto hasa unapoenda kulala na ukiwa na mwanamke hakikisha ukimaliza kugegedana mkaoge ukizingatia hayo utalala Kwa Amani na hauta ota ndoto za ovyo Wala kukabwa Kuna wengine wanaota Wana lawitiwa na usilale ukiwa umeangalia juu kama maiti inaagwa
 
Hamna ni nyumba ya serikali nadhani kwa sababu wanapita watu wengi sana labda Kuna wengine Wanakuwa na mambo za kiganga coz humu maofisini Nako full kurogana tu asee mpaka jau.
Mwenye nyumba kaweka mambo Ili wapangaji wawe wanahama wenyewe
 
Hamna ni nyumba ya serikali nadhani kwa sababu wanapita watu wengi sana labda Kuna wengine Wanakuwa na mambo za kiganga coz humu maofisini Nako full kurogana tu asee mpaka jau.
Yafukuze yaende kwa wenyewe.
Mimi nilipanga nyumba moja alipanga boss wangu hakuwa ametoa vitu vyake nikalala kwenye kitanda chake usiku nilifurushwa nikajikuta nipo sebuleni kulipo kucha nikavitoa vitu vyake na kusafisha nyumba yote na maji ya chumvi,nikakuta chupa ipo chini ya kitanda chake nikaipiga moto.Toka siku hio nikalala salama kabisa.
 
Pole sana; hiyo kitu inaitwa sleep paralysis: kama cha malkia kinapanda kule Google kuna shule za kutosha; sio vibwengo wala nini.
 
Washa shada ndani au weka mfupa wa nguruwe utakuja kunishukuru. Pole sana mkuu.
 
Easy usifunge mapazia wakati wa kulala yakaziba dirisha lote. Yani unatakiwa ukisimama ndani uone nje. Kwisha habari.
 
Back
Top Bottom