Upendo Furaha Peneza
Member
- Aug 7, 2014
- 8
- 95
Nimepigiwa simu nyingi juu ya bandiko la mtu anayejiita shetani mweusi akijinasibisha kuwa mimi na kwamba napongeza rasimu iliyosomwa na fisadi Andrew Chenge hapo jana.Nianze kwa kusema sio kweli,sio mimi mwenye jina hilo la kishetani,na zaidi ya yote siungi mkono rasimu iliyonyofolewa minofu kwa maslahi ya misisiemu,
Naunga mkono juhudi za viongozi wangu wa chama na ukawa kwa ujumla na siwezi kugeuka ghafla na kusaliti juhudi zao.
Mwisho niwaonye vibaraka wa wasionitakia mema maishani kuwa hakuna matope yanayoweza kumchafua mtu mwenye dhamira njema....hii ni ID yangu ambayo ni verified,kama kuna jambo lolote hutumia account hii.