amkawewe
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,021
- 528
Wahaya utawajua tu........ kwa uzinzi
Mkuu kulinda heshima yako naomba ukanushe hili la ukabila.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahaya utawajua tu........ kwa uzinzi
Nimepigiwa simu nyingi juu ya bandiko la mtu anayejiita shetani mweusi akijinasibisha kuwa mimi na kwamba napongeza rasimu iliyosomwa na fisadi Andrew Chenge hapo jana.Nianze kwa kusema sio kweli,sio mimi mwenye jina hilo la kishetani,na zaidi ya yote siungi mkono rasimu iliyonyofolewa minofu kwa maslahi ya misisiemu,
Naunga mkono juhudi za viongozi wangu wa chama na ukawa kwa ujumla na siwezi kugeuka ghafla na kusaliti juhudi zao.
Mwisho niwaonye vibaraka wa wasionitakia mema maishani kuwa hakuna matope yanayoweza kumchafua mtu mwenye dhamira njema....hii ni ID yangu ambayo ni verified,kama kuna jambo lolote hutumia account hii.

.

Wewe Binti mrembo hebu achana na siasa za chadema!
Kutofautiana na chadema sio dhambi! Hebu kapitie upya Rasimu iliyo wasilishwa na Chenge uone ilivyo mzuri!
Hivi uko chadema huwa mnafikiri sawa kwenye kila jambo?
Msalimie Rose Mayemba!

Mpwa naomba nikutake radhi wewe na Wahaya wote, sorry niliudhiwa na comment ya Rutashobolwa Tafadhali naomba msamaha kwa dhati kabisa. Tuendelee na mjadalaMkuu kulinda heshima yako naomba ukanushe hili la ukabila.