Nakanusha kusifia na kuunga mkono Katiba inayo pendekezwa

Wewe Binti mrembo hebu achana na siasa za chadema!

Kutofautiana na chadema sio dhambi! Hebu kapitie upya Rasimu iliyo wasilishwa na Chenge uone ilivyo mzuri!

Hivi uko chadema huwa mnafikiri sawa kwenye kila jambo?
Msalimie Rose Mayemba!

Juliana Shoza hajambo. Naona kaka unaendeleza mila ambayo wengine washaiacha
 
Wewe Binti mrembo hebu achana na siasa za chadema!

Kutofautiana na chadema sio dhambi! Hebu kapitie upya Rasimu iliyo wasilishwa na Chenge uone ilivyo mzuri!

Hivi uko chadema huwa mnafikiri sawa kwenye kila jambo?
Msalimie Rose Mayemba!
Usiingilie Uhuru wake wa mawazo,kaona chadema inamfaa huo ni uamizi wake
 
Last edited by a moderator:
Huwa nafuatilia michango yako mingi hapa JF na nimebaini una tatizo moja: ungependa kila mtanzania awe CCM!! hivi unajua kwamba kikatiba (hata hii inayochakachuliwa) mfumo wetu ni wa vyama vingi?? Sasa hivyo vyama vingine unataka waende akina nani? Unadhani watanzania zaidi ya milioni 40 wataenda chama kimoja??

Your wrong! Mimi napenda kila mtu aamini anacho amini lakini hasiburuzwe na mtu wala kikundi!

Sasa chadema inawafundisha vijana uoga na kuburuzwa na inawaaminisha kuwa wao wana fikira zinazo fanana ndio wanaogopa hata kuwakosoa viongozi wao kwa kuhofia kuitwa wasaliti!

Sasa ninapo ona hadi huyu binti mchanga Upendo Furaha Peneza ameanza uoga mapema nasikitika maana nilidhani ni binti jasiri na hasiye yumbishwa!

Alikimbilia kukanusha maana anaogopa kuitwa msaliti,sasa sina hakika kama ataweza kukanusha kila kitu.....

Mimi kwakweli roho ina niuma binti Mrembo kama huyu kuingia kwenye siasa za kuburuzwa na za uongo kama za chadema!

Natamani aache siasa hata kesho!
 
Last edited by a moderator:
Hata mm ambaye si mwanasiasa nilivyosoma ile habari nilijua imetengenezwa hongera dada kwa kuja kukanusha kila la heri
 
Alivyoanza 'Fisadi Chenge' teh!kweli haipendi Rasimu na Msomaji wake.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hongera sana kwa kutuondolea sitofahamu. Hasa mie nilikwishaanza kujiuliza maswali yasiyo na majibu. Ubarikiwe sana.
 
Nimepigiwa simu nyingi juu ya bandiko la mtu anayejiita shetani mweusi akijinasibisha kuwa mimi na kwamba napongeza rasimu iliyosomwa na fisadi Andrew Chenge hapo jana.Nianze kwa kusema sio kweli,sio mimi mwenye jina hilo la kishetani,na zaidi ya yote siungi mkono rasimu iliyonyofolewa minofu kwa maslahi ya misisiemu,
Naunga mkono juhudi za viongozi wangu wa chama na ukawa kwa ujumla na siwezi kugeuka ghafla na kusaliti juhudi zao.
Mwisho niwaonye vibaraka wa wasionitakia mema maishani kuwa hakuna matope yanayoweza kumchafua mtu mwenye dhamira njema....hii ni ID yangu ambayo ni verified,kama kuna jambo lolote hutumia account hii.

Ningekushangaa kamanda kuunga mkono skeleton, kudos mods fanyeni kazi yenu kwa huyo shetani mweusi.
 
Last edited by a moderator:
Nimepigiwa simu nyingi juu ya bandiko la mtu anayejiita shetani mweusi akijinasibisha kuwa mimi na kwamba napongeza rasimu iliyosomwa na fisadi Andrew Chenge hapo jana.Nianze kwa kusema sio kweli,sio mimi mwenye jina hilo la kishetani,na zaidi ya yote siungi mkono rasimu iliyonyofolewa minofu kwa maslahi ya misisiemu,
Naunga mkono juhudi za viongozi wangu wa chama na ukawa kwa ujumla na siwezi kugeuka ghafla na kusaliti juhudi zao.
Mwisho niwaonye vibaraka wa wasionitakia mema maishani kuwa hakuna matope yanayoweza kumchafua mtu mwenye dhamira njema....hii ni ID yangu ambayo ni verified,kama kuna jambo lolote hutumia account hii.

pole sana kwa mkasa huu wa kulishwa maneno, wengi tulijua ni dhahiri shahiri si maneno yako hata ivyo nikuase tu ndugu yangu jifunze kukanusha hoja kwa lugha ya kistaarabu na inayoonesha hasa umekomaa kisiasa, lugha uliotumia hapo si lugha ya mwanasiasa anayelenga kuishi na kudumu katka siasa
 
pole sana kwa mkasa huu wa kulishwa maneno, wengi tulijua ni dhahiri shahiri si maneno yako hata ivyo nikuase tu ndugu yangu jifunze kukanusha hoja kwa lugha ya kistaarabu na inayoonesha hasa umekomaa kisiasa, lugha uliotumia hapo si lugha ya mwanasiasa anayelenga kuishi na kudumu katka siasa. siasa inamiiko yake bado unamengi ya kujifunza sio mbaya siku moja moja ukamuliza zzk akufundishe namna ya kudumu mioyoni mwa watu na si katika chama pekeee
 
pole sana kwa mkasa huu wa kulishwa maneno, wengi tulijua ni dhahiri shahiri si maneno yako hata ivyo nikuase tu ndugu yangu jifunze kukanusha hoja kwa lugha ya kistaarabu na inayoonesha hasa umekomaa kisiasa, lugha uliotumia hapo si lugha ya mwanasiasa anayelenga kuishi na kudumu katka siasa

Ndo siasa alizozikuta hizo,si upinzan si chama tawala,si unaskia wanavyoraruana
 
Hawana ccm watahaingaka sana mwisho wake wataangamia wote
 
Upendo peneza amekanusha kuwa yeye hauskii na id feki inaitwa shetani Mweusi amesema kuwa hawezi kuhalalisha na kulinajisi taifa kwa kusapoti katiba ilivyofolewa Minofu amesema kuwa sasa Yuko njiani kuja kuandamana kwa lengo la kupinga ushetani huo amesema kuwa anaungana na ukawa na kupinga bunge hilo la ccm linaotumia pesa za walala hoi kujadili maoni ya ccm na sio ya wananchi na amesema watu hao ni wasio mpenda na wanamhofia bure kama wanaweza wakutane field.

Hamta muweza upendo peneza ni chadema damu na Ana Mungu kumchua ni vijumu sana.

Makamanda nawapenda sana makamanda endelezeni mapambao.

Imetolewa na: Mhere Mwita Mwenyekiti wa Baraza la vijana la chadema wilaya ya Geita (Bavicha)

Geita mkoa unaotegemea kodi ya mananasi kutoka KWINZELA.
 
Wewe Binti mrembo hebu achana na siasa za chadema!

Kutofautiana na chadema sio dhambi! Hebu kapitie upya Rasimu iliyo wasilishwa na Chenge uone ilivyo mzuri!

Hivi uko chadema huwa mnafikiri sawa kwenye kila jambo?
Msalimie Rose Mayemba!
Acheni huo ushetani weusi wa kupika propaganda za kipuuzi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom