Your wrong! Mimi napenda kila mtu aamini anacho amini lakini hasiburuzwe na mtu wala kikundi!
Sasa chadema inawafundisha vijana uoga na kuburuzwa na inawaaminisha kuwa wao wana fikira zinazo fanana ndio wanaogopa hata kuwakosoa viongozi wao kwa kuhofia kuitwa wasaliti!
Sasa ninapo ona hadi huyu binti mchanga
Upendo Furaha Peneza ameanza uoga mapema nasikitika maana nilidhani ni binti jasiri na hasiye yumbishwa!
Alikimbilia kukanusha maana anaogopa kuitwa msaliti,sasa sina hakika kama ataweza kukanusha kila kitu.....
Mimi kwakweli roho ina niuma binti Mrembo kama huyu kuingia kwenye siasa za kuburuzwa na za uongo kama za chadema!
Natamani aache siasa hata kesho!