Nakanusha kusifia na kuunga mkono Katiba inayo pendekezwa

Wewe Binti mrembo hebu achana na siasa za chadema!

Kutofautiana na chadema sio dhambi! Hebu kapitie upya Rasimu iliyo wasilishwa na Chenge uone ilivyo mzuri!

Hivi uko chadema huwa mnafikiri sawa kwenye kila jambo?
Msalimie Rose Mayemba!

Juliana Shoza hajambo. Naona kaka unaendeleza mila ambayo wengine washaiacha
 
Wewe Binti mrembo hebu achana na siasa za chadema!

Kutofautiana na chadema sio dhambi! Hebu kapitie upya Rasimu iliyo wasilishwa na Chenge uone ilivyo mzuri!

Hivi uko chadema huwa mnafikiri sawa kwenye kila jambo?
Msalimie Rose Mayemba!
Usiingilie Uhuru wake wa mawazo,kaona chadema inamfaa huo ni uamizi wake
 
Last edited by a moderator:

Your wrong! Mimi napenda kila mtu aamini anacho amini lakini hasiburuzwe na mtu wala kikundi!

Sasa chadema inawafundisha vijana uoga na kuburuzwa na inawaaminisha kuwa wao wana fikira zinazo fanana ndio wanaogopa hata kuwakosoa viongozi wao kwa kuhofia kuitwa wasaliti!

Sasa ninapo ona hadi huyu binti mchanga Upendo Furaha Peneza ameanza uoga mapema nasikitika maana nilidhani ni binti jasiri na hasiye yumbishwa!

Alikimbilia kukanusha maana anaogopa kuitwa msaliti,sasa sina hakika kama ataweza kukanusha kila kitu.....

Mimi kwakweli roho ina niuma binti Mrembo kama huyu kuingia kwenye siasa za kuburuzwa na za uongo kama za chadema!

Natamani aache siasa hata kesho!
 
Last edited by a moderator:
Hata mm ambaye si mwanasiasa nilivyosoma ile habari nilijua imetengenezwa hongera dada kwa kuja kukanusha kila la heri
 
Alivyoanza 'Fisadi Chenge' teh!kweli haipendi Rasimu na Msomaji wake.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hongera sana kwa kutuondolea sitofahamu. Hasa mie nilikwishaanza kujiuliza maswali yasiyo na majibu. Ubarikiwe sana.
 

Ningekushangaa kamanda kuunga mkono skeleton, kudos mods fanyeni kazi yenu kwa huyo shetani mweusi.
 
Last edited by a moderator:

pole sana kwa mkasa huu wa kulishwa maneno, wengi tulijua ni dhahiri shahiri si maneno yako hata ivyo nikuase tu ndugu yangu jifunze kukanusha hoja kwa lugha ya kistaarabu na inayoonesha hasa umekomaa kisiasa, lugha uliotumia hapo si lugha ya mwanasiasa anayelenga kuishi na kudumu katka siasa
 

pole sana kwa mkasa huu wa kulishwa maneno, wengi tulijua ni dhahiri shahiri si maneno yako hata ivyo nikuase tu ndugu yangu jifunze kukanusha hoja kwa lugha ya kistaarabu na inayoonesha hasa umekomaa kisiasa, lugha uliotumia hapo si lugha ya mwanasiasa anayelenga kuishi na kudumu katka siasa. siasa inamiiko yake bado unamengi ya kujifunza sio mbaya siku moja moja ukamuliza zzk akufundishe namna ya kudumu mioyoni mwa watu na si katika chama pekeee
 
Sasa Rasimu inawakilishwa na Mkwapuaji wa mali za Umma unategemea iwe na uadilifu gani? Upendo Furaha Peneza, tulijua siyo wewe ni mafisadi wa Lumumba.
 
Last edited by a moderator:

Ndo siasa alizozikuta hizo,si upinzan si chama tawala,si unaskia wanavyoraruana
 
Hawana ccm watahaingaka sana mwisho wake wataangamia wote
 

Geita mkoa unaotegemea kodi ya mananasi kutoka KWINZELA.
 
Wewe Binti mrembo hebu achana na siasa za chadema!

Kutofautiana na chadema sio dhambi! Hebu kapitie upya Rasimu iliyo wasilishwa na Chenge uone ilivyo mzuri!

Hivi uko chadema huwa mnafikiri sawa kwenye kila jambo?
Msalimie Rose Mayemba!
Acheni huo ushetani weusi wa kupika propaganda za kipuuzi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…