Nakanusha kusifia na kuunga mkono Katiba inayo pendekezwa


Kuna wakati unaongea vizuri sana mkuu
 
Nyie Chadema, hebu acheni ujinga wenu, pelekeni majina ya wabunge wenu 19 wa viti maalum, pimeni pros na cons za kususa muone nini kina faida zaidi, hata kama sio kwa Chadema as chama, then waachieni fursa za ajira wanawake wenu 19, tena nashauri priority iwe ni kwa wale waliogombea majimboni.

Just imagine, mtu kama huyu kukosekana Bungeni?.
Acheni hizo, pelekeni majina.

P
 
Kumbe wa CHADEMA ni ujinga, unasemaje kile mlichokifanya CCM? Kimsingi, naunga mkono msimamo wao kwani hiyo ndiyo gharama ya kilichotendwa na ninyi wenyewe. Tuanze na takwimu mlizotoa, je, zaidi ya nusu ya watanzania ni watu wazima? Ilikuwaje wapiga kura wawe zaidi ya 29,000,000? Je,matangazo ya washindi wa ngazi zote yalikuwa pasina kuacha shaka au hata aliyetangazwa kushinda hakuamini alichosikia kutokana na dhamiri yake inavyomshuhudia?
 
Hivi wabunge wa viti maalum hasa wa vyama pinzani huwa wanaweza kupinga hoja yoyote itakayoanzishwa na chama tawala ?
Mfano wakitaka raisi aliye madarakani kutawala milele?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjinga ni Wewe unaefikiri Ubunge ni zawadi ya Kupewa na Mtu.

We Hujui maana ya Haki Ila tumbo lako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…