respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,844
Fanya mazoezi ya mwili na kegel exercise.Ukienda kujisaidia haja ndogo fanya kama unakojoa kidogo kisha unazuia mkojo usitoke hesabu mpaka tano,kojoa kidogo kisha zuia tena kwa kucontrol misuli(usichanganye misuli hii na ya miguu,tumbo na makalio) na usijizuie kupumua!!!Rudia zoezi hilo mara 10 kwa siku mara tatu.Kila la kheri mkuu
Nawashauri mumpeleke kwa mwanasaikolojia ili apate uelewa wa umuhimu wa tiba ya ukimwi.Ni kawaida kwa baadhi ya wagonjwa kuwa na bad compliance.Dr mm Nina ndugu anaishi na vvu km miaka 7 sasa hanywi dawa za kurefusha maisha na afya yke co mbaya lkn ameanza kupata majipu Mara kwa Mara tumsaidieje? Nae hataki kunywa dawa za kurefusha maisha?msaada plz
Ahsante kwa kuonesha ushirikiano kwenye uzi huu.X-ray haiwezi kusababisha tatizo hilo mkuu.Vipimo vya EKG vinaweza kuthibitisha kama una tatizo kwenye moyo.Much much respect dada...
Kazi unayofanya hapa si haba, ofcoz tunaomadaktari wengi sana lakini ni wachache sana wenye moyo kama huo hata ktk kazi za wito kama hii. What can i say I'm proudly of you, Na kikubwa nilichokibaini hapa ni kama hauko hapa Tz, ila umetumia muda wako ambao tunaamini ni mchache sana kuwasaidi watu bure kabisa bila malipo..!!! Kama ni mbongo uliye nje kikazi nijisikia fahari sana kuwa na sach moyo wa upendo tulionao wabongo wengi. Lakini pia kama ni Mkenya then Mungu akubariki kushare utaalam wako ktk sekta nyeti kama hii ya Afya na wana East Africa, Africa na dunia kwa ujumla.
N.b,nitajongea tena hapa baada ya kupitia cheti nilichopima.
Kwa hakika sijawahi kutumia kilevi cha aina yoyote ile, iwe ni Pombe,Sigara,Cocaine wala Bangi na uzito wangu nadhani uko Normal ingawaje nimepanda kidogo toka kilo 68 mpaka kilo 73 (30age) nilizopima wakati nachekiwa mwezi wa pili. Pia sina pressure. Maybe kama tatizo hili linatokana na Effect za X-ray niliyopiga kifuani miaka13 iliyopita.
Dr gorgeousmimi, Narudia tena, Mungu akubariki na akuzidishie popote unapopungukiwa kwa msaada wako kwa wadau hapa ndani.
Blessed blessed again,be Blessed. Nitakutafuta baadaye.
BACK TANGANYIKA
Tunapopata msisimko wa kimwili, nerve impulses zinatumwa kutoka kwenye ubongo kwenda kwenye corpus carvenosa, ambapo signal substance Nitrogen monokside(NO) inazuia kuvunjwavunjwa kwa GTP(Guanine-5-triphosphate) - cGMP(Cyclic Guanine monophosphate) inayosababisha muscles zirelax na uume usimame.
- Ili uume usimame ipasavyo venes must be compressed.Compressionmechanism ikiwa defect erection inapotea partially au totally kwasababu kunakuwa na venous leckage.
- Kitu kingine ni nerveimpulses nilizozitaja kwenye first paragraph(sympathic and parasympathic motor neurons) zinaweza kuwa disturbed na kupeleka weak erection n.k So through masterbation you could triggering reflexes too often uncautionally or defeating compression mechanisms.
- And these are just my speculations.Hakuna direct scientific explanation how can masterbation prior to premature ejaculation.
- Unaweza kutumia scheriproct/alcos anal suppositories/cream kama management ya external hemorrhoid!
Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana..
Tafuta simethicone/dimethicone drops.Zinasaidia kupunguza gesi tumboni!Dr kuna dawa ya kutoa gesi tumboni kwa mtoto wa chini ya miezi6? Coz habeuwi pia ananyonya vidole sasa ile gesi inajaa tumboni adi kitofu kinatuna au kutoka nje na anakua analia kwa maumivu msaada mkuu tafadhali