Dr.naomba kujibiwa swali langu,nasumbuliw na fungus wa mdomoni yan umekuw mwekundu(mdomo wa chini) na nikila pilipili au mboga ya chumvi nyingi unazid kuw mwekundu na siku hizi kooni kuna washawasha nataman kuw nameza mate kla mara,halaf mikono na miguu ilianza kupooza km ganzi nmeenda hospitalin nikapew dawa ya ugonjwa wa kuparalyze. Dr.naomba uniokoe,ni miaka kama nane mpaka sasa,toka 2007 na ulianza kwa kuchanikachanika nikawa nacngzia jua,lkn madhara yake yakaja kuw kama ninayoyasema. So naomba unisaidie tatzo ni nn na tiba yake nn ? Ili niweze kuondoa tatzo hili. Nmetumia dawa nyng mno. Hope you are going to help me. To sincerely thanks you doctor,is my pleasure.