deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 521
Ahsante kwa ushauri,ni vipimo gani vitanifaa hapo na gharama zake zikoje?Ganzi miguuno na mikono ni dalili ya Ugonjwa wa kisukari au pressure sometimes lakini pia upungufu wa vitamin flani kama Vit B hupelekea tatizo kama hili.. So kama huna hata moja ya matatizo hayo happ juu ebu jaribu kununua Dawa inatwa Pregabalin au Gabapentin na Vit B complex huwa ni dozi ya mwezi then ukishatumia angalia hali yako endapo hakuna mabadiliko inawezekana kuna Nerve damage au tatizo lingine kubwa so nenda hosp kafanyiwe vipimo ambavyo Dr atakuandikia
dokta habari naomba kuuliza ikitokea upo maabara ukameza au ukanywa potassium dichromate madhara yake huwa ni yapi kwa muda mfupi au mrefu
Doctor habari
Nina mtoto wa miez miwili ana tatizo la kutopata choo muda mwingine anavuka hata siku 5 tatizo ni nini?
Hua ananyonya tu
Tatizo la Constipation kwa watoto wachanga ni Common sana lakini hutakiwi kuogopa wengine hukaa hata siku 5 na zaidii yotee hii ni kwa sababu mtoto hali vyakula vigumu na maziwa ya mama mengi yana nutrients zinazoweza kunyonywa zote hivyo kwa kunywa maziwa ya mama pekee mtoto hawezi kupata choo mara nyingi kama mtu mzima. Cha muhimu halii wala kuonesha dalili za maumivu kama ya tumbo.
USIMPE DAWA YOYOTE. labda ukiweza mfanyie kimassage flani simple tumboni na kumnyanyua vimiguu huku umemlaza kifudifudi kuongeza movement ya misuli ya tumbo.
Hilo kucha haina tatizo,tatizo Ni wewe kutokunawa miguu sawasawa awo Ni fungusTatixo langu ni hilo kucha linangoka na kuota jingine pia nikilikata kuna harufu naisikia , haliumi kabisa nini tatizo lakeView attachment 1580623
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Dawa ni kunawa vizuri sio basiiHilo kucha haina tatizo,tatizo Ni wewe kutokunawa miguu sawasawa awo Ni fungus
Tafuta Terbinafine Cream uwe unapakaaa hizi ni Fungus...!! Lakini je huwa husikii maumivu yoyote au muwasho kabla kucha kutoka????Tatixo langu ni hilo kucha linangoka na kuota jingine pia nikilikata kuna harufu naisikia , haliumi kabisa nini tatizo lakeView attachment 1580623
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Hakuna maumivu yeyote ili kuwasha kupo kidogoTafuta Terbinafine Cream uwe unapakaaa hizi ni Fungus...!! Lakini je huwa husikii maumivu yoyote au muwasho kabla kucha kutoka????
Bhasi ni Fungus tafuta Hiyo cream pamoja na Vidonge vya FLUCONAZOLE
Sawa asanteBhasi ni Fungus tafuta Hiyo cream pamoja na Vidonge vya FLUCONAZOLE
Haswaa na epuka kuvaa viatu ilihali madole ya miguu yana unyevuvyevu alafu fua soksi na zi kauke
Dose ya fluconazole ikoje na ni gram ngapi zinafaa?Bhasi ni Fungus tafuta Hiyo cream pamoja na Vidonge vya FLUCONAZOLE
Dose ya fluconazole ikoje na ni gram ngapi zinafaa?
macho yangu yamekufaa sioni mbali hasa maandishi siwez kuyasoma kama kuna tiba mbadala? mnisaidie