kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 410
Dk nilipima hiyo migraine nikaonekana sina lakini tatizo bado lipoNakushauri ukachekiwe MIGRAINE.Una dalili zake.
Mara nyingi dawa huwa ni kudonate. Linaitwa polycythemia vera. Utakuta na mwili unawasha ukioga.Abari za saiz dokta pamoja na dugu wote humu jf naomba msaada n vyakula gan au nn nitumie kupunguza damu mwilin imekuwa nying mpaka naumwa kichwa mara kwa mara nimepima iko 19
Huyo mgonjwa si anatumia dawa? Ni risky zaidi Kam angekuwa hatumii dawaHabari swali ninamuuguza mgonjwa mwenye maambuzi ya virusi vya ukimwi kuna sindano alitumia kuhona vitambaa akaiweka chini ya mto kwa bahati mbaya wakati narudi nilifikisha mkono kukandamiza mto ilinikae ile sindano ikanichoma kiganjani mpaka damu kutoka na nisiku hiyo hiyo sindano hiyo ilimchoma muathirika je kunauwezekano wowote na mimi kupata maambukizi?
Kwa wote au baadhi, sometimes ni akili yako tu nishawah kupitia ila Nika overcome hyo Hali na pia kama mtu hujamuelewa hyo inatokea sanaMm shida yangu yani kila nikitaka kufanya mapenzi uume unalala ila kama tunashikana unakua vizur shida nikitaka kuingiza
Inaweza ikawa infection zanjia ya mkojo, UTI au nyingine, check hospital Kisha tumia dawawakuu ningependa kufahamu madhara yatokanayo na kufanya mapenzi na mwanamke akiwa breed na suluhisho lake nilipi maana leo nimeamka kiuno kinaniuma balaa'note sikuwa nafahamu hapo kabla
Jaribu kumpeleka hospital ya rufaa au kubwa aonane na gynecologistShida mke wangu ametibiwa pid ila haiishi unamsaidiaje
Ananyonyesha..?Dr Kuna ndugu yangu anatatizo lakuwashwa kwenye maziwa ameenda hospitali akaambiwa nifangasi lakini kila akitumia dawa hali iko palepale je atumie dawa gani
Mm shida yangu yani kila nikitaka kufanya mapenzi uume unalala ila kama tunashikana unakua vizur shida nikitaka kuingiza
HapanzAnanyonyesha..?
Shida mke wangu ametibiwa pid ila haiishi unamsaidiaje
Broo weka akili yako sawa!! Tu hakuna uchawi hapo weka akili yako ondoa ofuKwa wote au baadhi, sometimes ni akili yako tu nishawah kupitia ila Nika overcome hyo Hali na pia kama mtu hujamuelewa hyo inatokea sana
W pop zMkuu ramipril ni dawa inayotumia kushusha presha au kwa watu wenye matatizo ya moyo(heart failure,au kwa watu waliopatwa na heart attack inatumika kama prophylaxis),inaweza kutumika pia kwa watu wenye matatizo ya mafigo(diabetisk nephropathy).