Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
- #341
Tiba zipo tofauti za anxiety:Asante sana kwa uchambuzi murua, endelea kubarikiwa, sasa nn tiba ya anxiety au fear?
Cognitive therapy:ni therapy inayofanywa na psychologist kusaidia kuondokana na stress,fikra hasi na kukusaidia kukupa fikra chanya.
Dawa pia zinaweza kutumika kama
- Benzodiazepines(diazepam,oxazepam):Hii ni first choice kwa emergence situations,hazitakiwi kutumika muda mrefu kutokana na kusababisha toleranse na addiction,zinapaswa zitumike Kwa wiki 2-4,matumizi ya muda mrefu zaidi ya huo ni baada ya makubaliano na psychiatrist.
- Betablockers ni dawa ya presha na moyo lakini pia zinaweza kutumika temporarily kucontrol symptoms za anxiety kama za kimwili mfano kutetemeka,moyo kuenda mbio,kutoka jasho n.k
- Antidepressant ni dawa za depression kama venlafaxin zinazoweza kutumika pia kutibu anxiety/symptoms lakini zinachukua muda wa wiki 2-4 mpaka upate nafuu.
- Pregabalin ni antiepileptic,dawa hii pia inaweza kutumika kutibu anxiety na ina effekt sawia kama Benzodiazepines au venlafaxin.

