Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
- #381
hapana mkuu mimi pia ninahali hiyo, ni miguu yote eneo lote la unyayo. sikumbuki chochote kinacholeta hali hiyo,
mara kwanza /kupata joto kuwaka moto miguuni ni 2002.
Kutoka hapo hadi leo hii miguu inawaka moto nikiw nimepujipunzisha, au usiku nikiwa nimelala.
nikiwa busy sipati hii hali.
naisaidieni
Ulitumia dawa yoyote kabla ya hapo?Nakushauri ukacheki kisukari!Jichunguze pia miguu yako ina muonekano gani?imevimba?kuna mishipa imejitokeza?
Kunavitu tofauti vinavyoweza kusababisha hali hio kama atheroscleorisis on exermites n.k